Agness ni mbunifu wa vito ambae ana chipukia kutoka hapa Tanzania. Ubunifu wake ni wa tofauti kidogo kwa maana ana tumia kitenge kutengenezea vito na hivi ni baadhi ya vito alivyo vitengeneza Agnes

1

2

3

4

5

7