Angelique Kidjo 55, mwanamama ambae ni mwanamuziki kutoka Africa, Angelique ni mwanamziki mkubwa ambae ameweza kushinda Tuzo za Grammy mara tatu ikiwa hii ya jana ni Tuzo yake ya Tatu. Angelique amevaa kitenge katika sherehe ya Tuzo hizo ukiachana na kitenge pia urembo alio uvaa mkufu na bangili ni za shanga, Kadumisha utamaduni wetu. Hongera Angelique kwa kuiwakilisha vyema Africa ki mavazi na kimuziki.

onstage during the GRAMMY Pre-Telecast at The 58th GRAMMY Awards at Microsoft Theater on February 15, 2016 in Los Angeles, California.

GettyImages-510436002