Kila msichana ana stahili mkoba mzuri wa kipekee, tumeona huu ubunifu wa hii mikoba tukaona tuilete mezani. Hawa Myth house ni wabunifu kutoka Ghana ambao wanatumia nyavu za madirisha kupendezesha mikoba yao. Ubunifu ni kazi ngumu sana tulivo ona hii mikoba tukawaza wabunifu wetu wa Tanzania je huwa wana waza mbali hivi? Mikoba ni misafi ukiiangalia ina vutia na ubunifu wake ni wa hali ya juu.
ipo mikoba ya aina tatu kuna hio hapo juu ambayo ndani yake kuna kuwa na mkoba mwingine wenye kitambaa cha rangi rangi yoyote, ambapo mara nyingi huwa wana tumia vitenge
kuna hii ambayo huwa wana tumia kitambaa kisicho na rangi yaani plain na nje kuweka hizo nyavu
na kuna hii ya nyavu tupu, tuambie umeuonaje ubunifu huu kwa kucomment hapo chini
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/bidhaa-ya-leo-mkoba-kutoka-myth-house/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/bidhaa-ya-leo-mkoba-kutoka-myth-house/ […]