SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

CUTE MISHONO KUTOKA KWA VANESSA MDEE NA JOKATE
Afro Fashion

CUTE MISHONO KUTOKA KWA VANESSA MDEE NA JOKATE 

Tumeona Hii Mishono Kutoka kwa bongo Fashionistas Jokate Mwegelo na Vanessa Mdee tukaona si vibaya kushare nanyi

Jokate alionekana na long maxi kitenge dress yenye vimikono flani hivi vya kuvutia, akiwa amevalia na kofia ya mkeka.

14488250_643621182478214_5735679363517513728_n

Vee alivaa kaji skirt chenye mpasuo mbele kwa pembeni na high low cropped blouse 14597337_1272527379456454_9099159542544990208_n 14709633_789934011149763_6620093570206400512_n

Jokate akaja kuonekana tena na short off shoulder kitenge dress yenye mikono ya tarumbetaScreenshot_2016-10-12-19-26-12-1

kama una maoni tafadhali tuandikie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts