Si mara ya kwanza kwa huyu Empire actress kuvaa kitenge katika red carpets au mitoko yake ya kawaida, according to her ana penda sana African Prints, And of course we love people ambao hawakimbii asili yao

Gabourey alivaa kitenge chenye njano na blue

ambacho tuna weza kusema kime kiki sana kipindi hiki cha katikati tulisha waona watu wengi wakiwa wame vaa na mmoja wapo kutoka bongo ni former Miss Tanzania Nancy Sumari

Ame malizia mtoko wake na curled hair na simple make up with a popping eye shadow ya blue japo hatua uhakika nayo sana kama ilikuwa necessary but she looks good and happy.

We love us some Gabourey Sidibe

Tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz