SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HARUSI HII ILIVYO BREAK THE INTERNET
Afro Fashion

HARUSI HII ILIVYO BREAK THE INTERNET 

Kuongezea kitu kidogo tu katika vazi lako ina weza kuleta matakeo makubwa usiyo yategemea, hii imeonekana kupitia couple hawa ambao ni wa South Africa walivyo buni mavazi yao ya harusi kipekee kwa kuongezea kitenge. Watu wengi wameonekana kuvutiwa na ubunifu huu kutokana na ku postiwa sana katika page mbali mbali zikiwemo page kubwa za fashion na harusi kama nigerian wedding ambao wana followers 1.3million Instagram

14487393_1077951992259276_5366125186070347776_n

Bibi Harusi alivaa Cinderella Dress ya kata mikono ambayo juu ina kitenge na aka vaa na turban ya kitenge. Yah Turban na ame pendeza mno14565010_1794016000868262_8248181450097033216_n

wasimamizi walivaa all black, wakati flower girls walivaa vigauni vya kitenge ‘cute’ 14583466_308739232839438_1797687097503514624_n 14624455_312111589161625_4845020884265598976_n

bwana harusi alivaa tuxedo ambayo alivaa na belt ya kitenge

katika Reception bibi harusi alibadilisha gauni ka kuvaa gauni ya kitenge tupu wakati bwana harusi aliendelea na nguo zake zile zile

14562020_323219124712435_8731324954039025664_n 14566698_1791212841145661_6927214629865127936_n

bib harusi ana itwa Nosipho Miya Leiva au una weza kumpata kama @porshmiya Instagram

Tupe maoni yako kupitia

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Instagram – afroswagga

Related posts