Kawaida ime zoelekea kitenge ni boring piece ya vazi yaani watu wana hisi huwezi kukistyle kikaa vizuri, lakini kumbe unatakiwa kujaribu na ku have fun with it, kama kawaida afro tukiwa katika mizururo yetu tukakutana na huyu stylist J. Bolinย ambae ame style watu maarufu wengi huko mbele kama e Vivica A. Fox, Emmitt Smith, Boris Kodjoe, Morris Chestnut, Wendy Raquel Robinson, Nene Leakes, Yolanda Adams, Donnie McClurkin, Christina Milian, ย Mary Mary, Sarah Jakes, Niecy Nash, Michelle Williams na Keisha Knight Pulliam, J Bolin ame tuonyesha ni jinsi gani una weza ku have fun na african print yako kwa namna mbali mbali
Ons shoulder bado ipo kwenye trend lakini ame ifanya iwe in a very unique way kamvalisha huyu mteja wake off shoulder shirt na Dakish skirt
Flare Kitenge skirt na leather bomber jacket, very african & stylish
the color combo love love love
off shoulder na Dakish skirt & turban
Jeans na kitenge hii kila mtu ana weza kuvaa
Unacho takiwa kufanya ni kutoka outside your comfort zone be creative na have fun na African print yako,
Related posts
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda seโฆ https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…