SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KEEP IT SIMPLE NA  MISHONO HII KATIKA MSIMU HUU WA MAPUMZIKO
Afro Fashion

KEEP IT SIMPLE NA MISHONO HII KATIKA MSIMU HUU WA MAPUMZIKO 

Ni muda wa kujionyesha jinsi ulivyo fashionable na kitenge chako, Keep it African & stylish. Kuna wenzangu na sisi ambao you have to look better more tha your sisterS awe mdogo au mkubwa maana if not then utakuwa topic ya nyumbani na likizo uione chungu. Hii ni mishono una weza kushona na ukawafanya dada zako waku envy… yes girl bring it on

Wide Legs Kitenge Trouser na deconstructed shirt

14350424_187474838329030_1678677274_n

Wide legs kitenge jumpsuit love how ame ji style na hio belt ya kitenge una weza kuivaa in so many ways 14553324_1111838102243608_9156989039507668992_n

off shoulder blouse na mini kitenge skirt 14716365_313774815645621_298618939968061440_n

Mixed prints 15035762_1661830827440720_8170195233527562240_n

kama utaiga mshono husisite kutuonyesha style yako

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

Facebook – afroswaggamag

Related posts