SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KITENGE DRESSES OVER LONG SLEEVE SHIRTS
Afro Fashion

KITENGE DRESSES OVER LONG SLEEVE SHIRTS 

Imekuwa Trend kwa muda sasa watu kuvaa ma gauni yenye mikono mifupi halafu kwa ndani wana vaa shirt ya mikono mirefu, imesha onekana kwa watu mbali mbali akiwemo Kylie Kardashian. Lakini kwa sasa tunaona wa Africa tume amua kudumusha vya kwetu, kwa sababu trend hii ime geuzwa kuwa ki-Africa zaidi watu wana shona magauni ya kitenge halafu ndani wana valia mashati yenye mikono mirefu, tuna weza kusema tuko impressed na pleased na trend hii

Rihanna

137

 

@erilynbytemitope

14449348_1184343418292894_2965543058097045504_n

@erilynbytemitope

14504722_1777508932504658_8214056723749535744_n

@maame__kyerewah-1024x1024

je ume pendezwa na mtindo huu tuandikie katika ki box cha comment au tutafute

Instagram -afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

Related posts