Jana zilikua Tuzo za Essence kwa wanamama weusi, wengi walifika kama, Omotola Jalade-Ekeinde, Kelly Rowland, Oprah Winfrey na wengine wengi maarufu, lakini kilicho tufurahisha zaidi ni ambavyo kati ya wanawake hao kuna ambao walivaa kitenge, kitenge ni alama ya Africa na Africa ndipo wanapo toka watu weusi, kuvaa kitenge ni kuonyesha jinsi ambavyo kukubali kule ulipo toka na kama tunavyo jua kwamba jasili aachi asili na akiacha asili hana akili, basi tuone jinsi walivyo pendeza na mitoko yao hio

rs_634x1024-160225141245-634.Omotola-Jalade-Ekeinde-Essence-Awards.ms.022516

Omotola Jalade Ekeinde

17.-Yvette-Nicole-Brown-2016-ESSENCE-Black-Women-In-Hollywood-Awards-OnoBello

Yvette Nicole Brown 25.-Thais-Francis-2016-ESSENCE-Black-Women-In-Hollywood-Awards-OnoBello

Thais Francis