SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KITENGE SWAGG KUTOKA KWA HAMISA,LULU NA WOLPER
Afro Fashion

KITENGE SWAGG KUTOKA KWA HAMISA,LULU NA WOLPER 

Ikiwa wote ni watu maarufu kutoka Tanzania na wote wapenda mitindo wiki hii wame onekana kujikita katika kitenge ambapo kila mtu kakivaa kwa style tofauti tofauti una weza kuiga mshono

13113773_480332822160579_2140810535_n

Elizabeth Michael alivaa gauni refu lililo shonwa kwa mtindo wake

 

index

Wakati Jackie yeye alivaa kitenge kama kimono/kitupio huku akiwa ame vaa mavazi meusi yote na viatu vyekundu13256784_579015488925362_893018171_n

Hamisa yeye amevaa kijigauni ambacho ni cha kitenge na kina kola kwa juu huku ame match rangi ya kola ya gauni na viatu.

Related posts

2 Comments

  1. benelli firearms guns

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/kitenge-swagg-kutoka-kwa-hamisalulu-na-wolper/ […]

  2. empresa de informática

    … [Trackback]

    […] There you will find 61357 additional Information on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/kitenge-swagg-kutoka-kwa-hamisalulu-na-wolper/ […]

Leave a Reply