SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KWA MARA NYINGINE TENA KEVIN HART AVAA KITENGE
Afro Fashion

KWA MARA NYINGINE TENA KEVIN HART AVAA KITENGE 

Kevin Darnell Hart “Kevin Hart” ni mchekeshaji, muigizaji, muandishi na producer kutoka Philadelphia, Hart kwa sasa ana julikana ulimwengu mzima kwa kazi yake aifanyayo ya uchekeshaji, Hart ameonekana katika filamu mbalimbali kamaPaper Soldiers (2002), Scary Movie 3 (2003), Soul Plane (2004), In the Mix (2005) na Little Fockers (2010) japo alikuja kujulikana zaidi katika filamu ya Think Like a Man (2012), na Ride Along (2014), ambapo mwaka huu filamu ya Ride Along 2 imetoka na humo Hart ameonekana akivalia kitenge kwa mara nyingine ambapo mara ya kwanza alionekana akiwa amevaa kitenge katika filamu ya think like a man 2

ra2-munn

Ride Along 2

Kevin-Hart-with-Logo

Think Like A Man 2

tazama kipande cha filamu hio kuona Kevin alivo pendeza na kitenge chake

 

Related posts

5 Comments

  1. buy blue oyster mushroom

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/kwa-mara-nyingine-tena-kevin-hart-avaa-kitenge/ […]

  2. Buy DMT Vape pen for Sale Brisbane

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/kwa-mara-nyingine-tena-kevin-hart-avaa-kitenge/ […]

  3. blue meanies mushrooms review

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/kwa-mara-nyingine-tena-kevin-hart-avaa-kitenge/ […]

  4. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Here you can find 9554 additional Info to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/kwa-mara-nyingine-tena-kevin-hart-avaa-kitenge/ […]

  5. Mushroom Golden Teacher

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/kwa-mara-nyingine-tena-kevin-hart-avaa-kitenge/ […]

Leave a Reply