kila unpo tembea msimu huu ni makoti, ma sweta wenye kujifunika khanga na vitenge pia wapo basi ili mradi kila mtu ana jikinga na baridi awezavyo na kuonekana stylish katika njia yake ya kipekee, katika kutembea tembea kwetu kwenye mitandao ya kijamii tukakutana na hizi masai shuka poncho’s ambazo tumezipenda mno. Sote tunajua a perfect touch of African print ina weza kubadilisha kabisa muonekano wako, iwe kitenge, accessories za ki Africa (shanga etc) au hizi Maasai shuka.
Kwa sasa our favorite ni hizi maasai poncho’s na huu msimu wa mvua they are a must have
Kizuri ni kwamba ni mazito yamebuniwa vizuri una weza kuvaa popote, safarini,kazini au katika mitoko yako na marafiki
Kingine ni kwamba una weza ku style vyovyote uwezavyo, umezipenda? watafute kupitia Instagram @afriposhdesign
Wanapatikana Arusha wana ship pia lakini pia una weza kuwatafuta kupitia number zao za simu +255757074590, sio tu wanauza hizi ponchos bali pia wanauza accessories.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/masai-shuka-ponchos-kutoka-afroposhdesigns-hitaji-lako-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/masai-shuka-ponchos-kutoka-afroposhdesigns-hitaji-lako-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/masai-shuka-ponchos-kutoka-afroposhdesigns-hitaji-lako-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/masai-shuka-ponchos-kutoka-afroposhdesigns-hitaji-lako-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/masai-shuka-ponchos-kutoka-afroposhdesigns-hitaji-lako-msimu-huu-wa-baridi/ […]