SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MASTAA WA MAJUU WALIVYO OBSESSED NA AFRICAN PRINTS
Afro Fashion

MASTAA WA MAJUU WALIVYO OBSESSED NA AFRICAN PRINTS 

Tunapo ongelea african print tuna maanisha ni zile bidhaa za kiafrica kama Kitenge, Dakishi, Batiki, Bazee na kadhalika. Kwa sasa dakishi na kitenge vimeonekana kubamba zaidi sio tu hapa Africa bali hata huko kwenye nchi za wenzetu.

Watu maarufu wengi wame onekana kuvaa mavazi haya kama Neyo, Monica Brown na wengine

Huyu ni Gabourey SidibeĀ  muigizaji katika Tamthilia maarufu ya Empire kama mpenzi wa Tamthilia utakua una mjua ka igiza kama Secretary wa Lucious Lyon, Hivi karibuni alitembelea kituo cha radio kimoja huko kwao akiwa ame valia hio skirt ya kitenge

0921-gabourey-inset-810x960

Taraji P Henson pia ni muigizaji wa tamthilia ya Empire ambapo ana igiza kama mke wa Lucious Lyon anaenda kwa jina la “cookie” ame onekana akiwa amevalia suruali ya kitenge akiwa studio kwenye mazoezi ya kuigiza tamthilia hio14287989_528685030674962_271520548188585984_n

Mwanamziki Neyo ambae ame funga ndoa hivi karibuni wame onekana kuvalia Dakishi wakiwa katika vocation14334716_1424763784203669_8664891649739980800_n

Monica Brown ambae pia ni mwanamuziki alitamba na kibao cha the boy is mine ft Brandy nae ame onekana kuwa ni mpenzi wa african print maana ame vaa mara nyingi iwe kitenge au dakishi

Monica-brown-dashikipride-styleyetu22

Related posts