SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mbunifu Fola-Toks Abiodun Na Vazi Hili La Birthday Ya Mwanae Yay or Nay?
Afro Fashion

Mbunifu Fola-Toks Abiodun Na Vazi Hili La Birthday Ya Mwanae Yay or Nay? 

Mbunifu ambaye yuko based London lakini ni Mm-Nigeria Fola-Toks Abiodun, ambae ana sifika na style zake za asoebi na ana fanya kazi na watu maatufu mbali mbali kutoka Nigeria akiwepo Muigizaji mkubwa Mercy Aigbe, Fola-toks ameingia kwenye headlines baada ya kubuni vazi hili kwa ajili ya kusheherekea Birthday ya mwanae

Gauni ni mermaid style (nguva) chini ikiwa na kitenge wakati juu inakitambaa kilicho kuwa na crystals, Ni zuri haswa

Lakini ameingia kwenye headlines baada ya watu kusema hii nguo haikufaa kuvalishwa mtoto imekaa kiutu uzima zaidi, wakati wengine wakisema ni sawa kwa maana mama ana onyesha/kutangaza ubunifu wake. Mtoto alivaa gauni hii huku amesukiwa ankara braids,

Tuambie kwa maoni yako je unaona ni sawa au si sawa? kupitia kurasa zetu katika mitandao ya kijamii

 

Related posts

2 Comments

  1. แทงบอล ufabet

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mbunifu-fola-toks-abiodun-na-vazi-hili-la-birthday-ya-mwanae-yay-or-nay/ […]

  2. Your Domain Name

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mbunifu-fola-toks-abiodun-na-vazi-hili-la-birthday-ya-mwanae-yay-or-nay/ […]

Leave a Reply