Nandy ni mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania,ambae kwa sasa ana tamba na kibao chake cha one day, ofcaurse kama msanii na mtu maarufu ana paswa kupendeza na hicho ndicho anacho kifanya Nandy na mara nyingi tunamuona akiwa ame vaa kitenge labda ni mapenzi yake kwa African culture maana pia ana own duka ambalo linaitwa Nandy Anglican Prints.
Hii ndio mishono mikali iliyo tuvutia ambayo hivi karibuni ame ivaa, unaweza kuiga mshono (kama tu Nandy hawaja weka copy rights lol)
Unajua shirt dress zipo kwenye peek kwa sasa right? basi nandy ame jishonea yake mwenyewe the color au kitenge alicho chagua ni tulivu kimepndezea mshono she looks so hot na miwani yake putted on,cute hair style na open heels. Push through Nandy
This two pieces are WOW, how coordinated is this outfit? perfect colors, mshono umeendana na umbo la Nandy. tumependa ame valia nude heels japo nywele ange zi tengeneza vizuri kidogo ange kuwa perfect. unaweza kuchagua kitenge chako kizuri na wewe ukashona
Mid lenght dress ambayo mikono yake ni mifupi lakini yeye ame style kwa kuvalia shirt kwa ndani, simple but chic right? una weza kujaribu pia. the shoes are to die for.
Tupe maoni yako kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 11842 more Information to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-3-mikali-ya-kitenge-kutoka-kwa-nandy/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 90758 more Information on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-3-mikali-ya-kitenge-kutoka-kwa-nandy/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-3-mikali-ya-kitenge-kutoka-kwa-nandy/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-3-mikali-ya-kitenge-kutoka-kwa-nandy/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-3-mikali-ya-kitenge-kutoka-kwa-nandy/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-3-mikali-ya-kitenge-kutoka-kwa-nandy/ […]