Japo kuna ambao wapo likizoni kuna wenzangu na sie ambao bado tupo makazini, wakati mwingine inakuwia vigumu kujua nini uvae jumatatu na unahitaji kuanza week yako vizuri ki-mavazi kufanya week yako nzima kwenda vizuri. Leo tunakuletea outfit ideas za kazini za kitenge tukiwa tumezitoa kutoka kwa fashion blogger doopie
Wide Kitenge Leg Pants – wide legs zipo kwenye trend kwa sasa na kuvaa ikiwa ya kitenge unakua total unique stylish and representing the culture, Doopie yeye amevaa na white coat na brown belt huku aki accessorize muonekano wake na round big earrings na saa
Ruffle Kitenge Top – adding some drama to your work doesn’t hurt any body, Doopie amevaa sleeve kitenge top huku akiwa amepair na suruali nyeupe amemalizia muonekano wake na hereni na merallic belt.
Kitenge Pencil Skirt – pencil skirt to workplace is the right place to be, Doopie amevaa skirt yake yenye rangi nyeusi na nyeupe huku akiwa ame match na off shoulder top nyeusi amemaliza muonekano wake na pumps nyeusi, hereni ndogo na a simple chocker
Kitenge Pencil skirt katika namna ya tofauti hapa akiwa amevalia na brownish coat allilo match na nude shoes huku akiwa ame accessorize muonekano wake na brown belt na big rounded earrings
Kitenge Touchs on a dress – Doopie amechanganya kitenge na material nyingine katika gauni lake la kijani huku akiwa amemalizia na open heels za kijani.
Ni matumaini yetu umepata idea ya nini uvae week hii ya kabla ya Christmas, slay & do it for the culture.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-ya-kitenge-kwa-ajili-ya-kazini/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-ya-kitenge-kwa-ajili-ya-kazini/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-ya-kitenge-kwa-ajili-ya-kazini/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 41388 more Information to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-ya-kitenge-kwa-ajili-ya-kazini/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-ya-kitenge-kwa-ajili-ya-kazini/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-ya-kitenge-kwa-ajili-ya-kazini/ […]