SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MISHONO YA KITENGE YA KIPEKEE
Afro Fashion

MISHONO YA KITENGE YA KIPEKEE 

Kuna mishono ambayo wengi tumeizoea labda nguva, au skirt za kuchanua lakini tuna shindwa kuwa wabunifu na kubuni kitu ambacho hakipo common sana, siku ukifanya kitu cha kipekee basi watu wote wata kuangalia wewe iwe kwenye sherehe, mavazi au hata biashara na hata wakiiga wewe utabaki kuwa muanzilishi. Jaribuni kuwa wabunifu hasa kwenye mavazi yenu. Hii ndio mishono iliyo tuvutia week hii kwa kuonekana unique sio kama mingine

@ankarastyles

hii ni gauni fupi kashona na koti refu lililo pita kidogo gauni, ni jinsi ambavyo amepangilia hayo maua na kubeba pochi inayo fanana na nguo zake lakini what makes it look so stylish ni mshono na jinsi alivyo vaa viatu vya njano.

@midget_giraffe

Long evening dress iliyo kuwa half backless, tume zoea kuona zile za madukani lakini kitenge ni mara chache watu kutumia design hii ya mishono@shopzuvaa

mkono mmoja, hii kidogo ni tofauti na nyingine ni the way mkono wake ume wekwa na pia jinsi ambavyo ameibuni chini na kuifanye isiwe ndefu sana.ga1

Jumpsuit hii utafauti wake na nyingine ni miguu ame weka ubunifu flani hivi wa kipekee kizungu ina itwa wide lag pants. unaweza kuiga na kututumia picha pia.

Related posts

5 Comments

 1. superslot

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-ya-kitenge-ya-kipekee/ […]

 2. Cambodian Shrooms, cambodian shrooms for sale Denver

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-ya-kitenge-ya-kipekee/ […]

 3. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-ya-kitenge-ya-kipekee/ […]

 4. Ufabet

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-ya-kitenge-ya-kipekee/ […]

Leave a Reply