SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mishono Ya Vitenge Inspired By Chinyere Adogu
Afro Fashion

Mishono Ya Vitenge Inspired By Chinyere Adogu 

Ukiongelea uzalendo unaongelea kila kitu kuanzia Lugha, mavazi hadi jinsi ambavyo unajibeba kama mu-Africa, na unawezaje kuwa mu-Africa mkamilifu kama huvai mavazi yenu? well kitenge kimekuwa kikifanya vizuri Duniani sisi kama wa Africa tupo proud, leo tunawaletea mishono bomba ya kitenge kwa wadada wa rika la kati.

Anaitwa Chinyere Adogu au @the_real_chi Fashion Blogger kutoka Nigeria, huwa ana vaa vitenge mara kwa mara na tumependa michono yake

Tumependa jinsi alivyomix rangi kwenye hii Jumpsuit

 

 

mixing Ankara 

statement kitenge top, skater skirt & boots, you can rock this kokote kasoro kazini

Related posts

1 Comment

  1. Source

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mishono-ya-vitenge-inspired-by-chinyere-adogu/ […]

Leave a Reply