SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MITOKO YA KAZINI NA PENCIL SKIRT ZA KITENGE
Afro Fashion

MITOKO YA KAZINI NA PENCIL SKIRT ZA KITENGE 

Asilimia kubwa sana ya wadada wanazo hizi pencil skirt za kitenge eidha walishona kwa ajili ya kwendea kanisani au walishona kwa ajili ya sababu maalum lakini hawazivai tena kwa sababu tu wana hisi hakuna sehemu ya kwenda umevaa hio pencil skirt lakini kumbe una weza ku i style katika namna mbali mbali na ukaendea kazini na kupendeza kabisa, tuone namna ambavyo una weza kuistyle hii pencil skirt ya kitenge kwa ajili ya kazini

a46f64b138c20e084d202072ba27b475

unaweza kuvaa na off shoulder top ukapendeza pia na hii tume penda alivyo ishona kaweka na style flani nyumail_570xN.759323607_qxdv

Unaweza ukainogesha na kikoti chake kwa juu uka toka ki professional zaidi IMG_1015

una weza uka vaa na shati ya jeans uka nogesha na mikufu wadada wana vaa sana hivi siku hiziMidget-Giraffe-Blue-Diamond-Pencil-Skirt-2-700x933 Yvonne-Nelson-African-Print-JadeAfrican.com0_

Unaweza pia ukavaa na shati ya rangi moja

Related posts

1 Comment

  1. lsm99bet.com

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/mitoko-ya-kazini-na-pencil-skirt-za-kitenge/ […]

Leave a Reply