SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MKOBA WA KITENGE KUTOKA KWA ALLY REHMTULLAH
Afro Fashion

MKOBA WA KITENGE KUTOKA KWA ALLY REHMTULLAH 

Ally Rehmutulla ni mbunifu wa mavazi kutoka Tanzania lakini jana ametuonyesha uwezo wake katika ubunifu baada ya kugeuka na kubuni Pochi/mikoba ya kitenge, Ally katika ukurasa wake wa InstagramĀ  ame tuonyesha mteja wake wa kwanza kununua mkoba huo na kuandika “Our First Customer For The #AllyRemtullah #kitengebag, Tumependa kila kitu kuhusu hii mikoba.

12783465_1059220950791113_1902397272_n FB_IMG_1457065531057

Related posts

Leave a Reply