SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MWAMVITA MAKAMBA KATIKA MIXED KITENGE PRINTS
Afro Fashion

MWAMVITA MAKAMBA KATIKA MIXED KITENGE PRINTS 

Unapo ongelea ma slayer bongo ambao hawana kelele nyingi basi mwamvita nae ni mmoja wapo, week hii ya holiday ame tuonyesha uwezo wake wa kuvaa mixed kitenge prints. Ni mara chache sana watu kuvaa mixed kitenge prints waka pendeza kwa maana wengi huwaga kawaida tu ila hii ya Mwamvita ime catch our eyes

amevaa off shoulder layered kitenge blouse, ambayo alivalia na high low skirt yenye mpasuo kwa mbele

MWAMVITA

Silver open heels, Akavaa na gere la kijani MWAMVITA1

Glam Up na make up nzuri kabisa huku akimalizia muonekano wake na hereni za dhahabu,hivi hii gold na silver imeendana hapa? au ime bebwa na outfit? Who cares ame pendeza unnamed

unaweza kuiga mshono.

Wasiliana nasi kupitia

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Instagram – afroswagga

Related posts