Selorm Galley-Fiawoo Ni muigizaji kutoka Ghana pia ni TV HOST @joyprime DSTV 281 na alisha wahi kuwa katika jumba la BIG BROTHER AFRICA star (the Chase S8 ), Katika wadada wanao slay Ghana huwezi kuacha kumtaja Selly Galley na ame amua kuukaribisha mwaka mpya wa 2017 with top up level of slayange
Tumependa mshono wa gauni, yes ame shona maana kwenye caption yake ame mtaja aliye muuzia kitambaa. What we can say is Ghana wana mafundi cherehani HD (high defenition)
Mikono ya gauni na mkato apo mbele is to die for, hair style choise is perfect
we cant wait what install for her katika siku 363 zilizo baki
Kama una maoni wasiliana nasi kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/selorm-galley-fiawoo-welcomed-2017-with-slayange/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/selorm-galley-fiawoo-welcomed-2017-with-slayange/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/selorm-galley-fiawoo-welcomed-2017-with-slayange/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/selorm-galley-fiawoo-welcomed-2017-with-slayange/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/selorm-galley-fiawoo-welcomed-2017-with-slayange/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/selorm-galley-fiawoo-welcomed-2017-with-slayange/ […]