Wazungu wanasema fashion ni kitu unacho nunua lakini style ni vile ambavyo unaamua kuvaa hiko kitu, well leo tumependa jinsi mbunifu Bijoux Trend kutoka hapa hapa Tanzania anavyo style au anavyo mix batiki zake, Bijoux ana tengeneza mwenyewe hizi batiki akimaliza ana buni nguo na kuzishona tulicho penda au cha tofauti tulicho kiona kutoka kwake hivi karibuni ni kwamba hamvalishi mteja wake full set ya batiki bali ana changanya zile batiki zinazo onekana kuendena na kuleta kitu unique na kizuri sana.
Tumeona akifanya hili kwa Jokate Mwegelo ambapo alimvalisha batiki zenye pattern tofauti lakini zina zina endana hasa kwenye hio mistari na rangi
lakini pia tumemuona akimvalisha Nasreen Karim na yeye alimvalisha skirt na shirt lakini za rangi ya udongo
we love love love hii style ina kufanya uonekane wa tofauti.
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/styletalk-mbunifu-bijoux-trend-na-mixing-batiki/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/styletalk-mbunifu-bijoux-trend-na-mixing-batiki/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 13108 more Info to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/styletalk-mbunifu-bijoux-trend-na-mixing-batiki/ […]