SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Taye Odenusi na Miss Feferity Fashionable Twins
Afro Fashion

Taye Odenusi na Miss Feferity Fashionable Twins 

Taye Odenusi na Miss Feferity ni mapacha kutoka Nigeria, ambao mara ya kwanza kuwaona tuka sema hawa wana faa kuwaleta hapa wawape wale wanao penda kuvaa sare sare au hata kama una harusi na huna mishono ya braid maids, una harusi na una sumbuka kujua cha kuvaa, sherehe na una taka kuvaa sare na mwenzio basi hawa wata kupa vyote hivyo. Tume penda sense ya style yao na how wana endelea kuvaa sare hata kama wamesha kua wakubwa

12501653_181551825571056_1544149807_n

12547724_955216627859483_1957084239_n

13408836_581465025357935_1725362327_n

13768244_1772507466327977_105252316_n

14145613_175897872844497_1005072_n

14482674_1800624076822528_8874554605757792256_n

Related posts