Tanzania sweetheart ambae nae katika ma-slayer huwa hapitwi Bi Wema Sepetu jana ame post picha zake mpya akiwa ame vaa gauni ya kitenge hii ni mixed vitenge yaani ni vipande mbali mbali vidogo vidogo vya vitenge vimewekwa pamoja vikaunda hili gauni, Wema ame dress up hivi akiwa ameenda mahakamani kusikiliza kesi yake (tunaweza kuiita court style) maana akienda kusikiliza kesi ya lema ana slay kesi yake ana slay well back to kitenge dress kutoka neys collection ime mpendeza sana
tumependa kitenge kilivyo kuwa mixed, ombi letu ni Wema tu aachane na hio choker na well kama nywele zinge fungwa ingekuwa bampa to bampa
The belt ime compliment the mtoko kwa kweli
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 73503 additional Info on that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/wema-sepetu-rocking-mixed-print-by-neys-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/afro-fashion/wema-sepetu-rocking-mixed-print-by-neys-collection/ […]