SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Level Up Your Tee & Jeans Look
AfroTipAndTricks

How To Level Up Your Tee & Jeans Look 

Umeshawahi kuangalia mionekano casual ya watu maarufu wamevaa tu t-shirt na jeans lakini wakawa wamependeza ukajiuliza how do they do it? unaweza kukuta wamevaa t-shirt tu nyeupe na blue jeans hata wewe unazo lakini wao waka-stand out, ukabaki unajiuliza wewe unakosea wapi?

Leo tunakuletea tips kadhaa ambazo watu maarufu hutumia ku-level up looks zao hizi:

 • Tengeneza nywele na kucha zako

Kitu muhimu ambacho huwa tunasahau ni kwamba kuvaa casual haimaniishi nywele na kucha ziwe rafu, tengeneza kucha na nywele zako vyema kama ambavyo ungetengeneza endapo ungekuwa na mtoko. Ila usije ukatengeneza nywele kama za bibi harusi (lol) just make sure zipo presentable.

 • Accessories

Ni muhimu sio kwasababu umevaa casual haimaniishi basi ndio utoke bila accessories kwa namna moja au nyingine huwa zinanyanyua sana muonekano iwe ni miwani, mkufu, hereni, saa, mkanda au handbag.

 • Viatu

Kama unaweza kutembelea heels basi unaweza ku-switch from flats to heels lakini kama huwezi basi hakikisha viatu vyako ni visafi, unaweza kuvaa bold color shoes yaani ukaachana na zile black and white ukavaa red au green etc.

Note: A bold lipstick nayo inasaidia sana kunyanyua muonekano wako, na hizi tips si tu kwaajili ya white t-shirt na jeans bali unaweza kuzitumia katika mionekano yako mingine ambayo unaona ipo kawaida basi unaweza kuinyanyua kwa kuongezea vitu hivi vichache.

Related posts

4 Comments

 1. Buy Crystal Meth Online For Sale New South Wales

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/afrotipandtricks/how-to-level-up-your-tee-jeans-look/ […]

 2. gun stores

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/afrotipandtricks/how-to-level-up-your-tee-jeans-look/ […]

 3. 늑대닷컴

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/afrotipandtricks/how-to-level-up-your-tee-jeans-look/ […]

 4. kaws moon rocks

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/afrotipandtricks/how-to-level-up-your-tee-jeans-look/ […]

Comments are closed.