Moja kati ya vitu ambavyo vina-stress wanawake ni mikanda ya Brazia kulegea, yaani unanunua brazia kilasiku kwasababu baada ya mifuo kadhaa mikanda inalegea. Hii inaweza kusababishwa na quality ya brazia lakini pia inawezekana inatokana na uanikaji wako wa brazia unasababisha mikanda kulegea, mfano unapo anika bra yako unaning’iniza mikanda angalia mfano mzuri hapo chini ili kuelewa zaidi. Unapo anika hivi Bra hasa yenye sponge inakuwa nzito na maji inajivuta chini na kusabisha mikanda ya brazia yako kulegea.

Badala yake tumia njia hizi 3 kuanika brazia yako ili kufanya mikanda idumu muda mrefu bila kulegea
- Anika kwa kutumia centre ( katikati) ya bazia.

2. Anika kwa kutumia upande wa blazia kule ambapo kuna vichuma vya kufungia brazia yako

3. Anika kwa kutumia vishikia vya mikanda au bana Cup za brazia

well tuambie wewe huwa unatumia njia ipi kuanika brazia zako?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/afrotipandtricks/namna-3-nzuri-za-kufanya-mikanda-ya-brazia-bra-isilegee/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 94335 additional Info on that Topic: afroswagga.com/afrotipandtricks/namna-3-nzuri-za-kufanya-mikanda-ya-brazia-bra-isilegee/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/afrotipandtricks/namna-3-nzuri-za-kufanya-mikanda-ya-brazia-bra-isilegee/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/afrotipandtricks/namna-3-nzuri-za-kufanya-mikanda-ya-brazia-bra-isilegee/ […]