Ndizi huliwa na maganda hutupwa tusicho kijua ni kwamba yale maganda ya ndizi yanaweza kung’arisha meno yetu kwa kufanya mambo machache sana. Nani asiependa kuwa na meno meupe? basi fanya yafuatayo:
Kwanza menya ndizi yako kutoka juu kwenda chini kama wafanyavyo nyani, usianzie kwenye kitako cha ndizi.
Pili chukua lile ganda la ndizi na usugue taratibu katika meno yako lakini usisugue upande wa nje wa ganda ni ule wa ndani mweupe sugua mpaka pale utakapo ridhishwa,
Tatu kaa mdomo wazi kwa dakika 5-10 usifumbe mdomo ukifumba utafuta ile ndizi yako
Nne chukua mswaki mkavu na upige ili kufanya ndizi yako iweze kufanya kazi kiufasaha
Mwisho Sukutua kwa maji masafi au piga mswaki na dawa ya mswaki kama kawaida
Fanya hivi kwa muda wa wiki moja utapata matokeo
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/afya/ganda-la-ndizi-na-miujiza-ya-kungarisha-meno/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 21459 more Info on that Topic: afroswagga.com/afya/ganda-la-ndizi-na-miujiza-ya-kungarisha-meno/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/afya/ganda-la-ndizi-na-miujiza-ya-kungarisha-meno/ […]