SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nini Chanzo Cha Kitambi Na Namna Ya Kukiondoa – 1
Afya

Nini Chanzo Cha Kitambi Na Namna Ya Kukiondoa – 1 

Habari #Afromates  ikiwa ni Jumatano nyengine na itakua ni desturi kwamba kila ifikapo Jumatano tutakua na kipengele cha Tips&Tricks ambapo tutakua tukiandika na kujuzana  dondoo mbalimbali kuhusiana na fasheni,urembo na mitindo ya maisha. Na leo ikiwa kama Jumatano yakwanza tutaelekeza jicho letu katika jambo ambalo limekua ni janga la kimataifa katika watu watano basi wa tatu ni waathirika wa jambo hili kwa jinsia zote wanaume na wanawake.
Tatizo hilo  ni kuongezeka kwa ukubwa wa sehemu ya tumbo kama inavyofahimika na wengi kwa jina la KITAMBI. Labda awali tungeanza kwa kufahamu ni nini kitambi  kama maelezo ya utangulizi yalivyoelezea ni ongozeko la  ukubwa wa sehemu ya tumbo ambayo haiusiani au kusababishwa na maradhi ila kuzidi kwa aina fulani yani chakula ijulikanao kama FATS ambavyo kwa lugha ya kitaalam fats ambayo hujitokeza kama kitambi hujulikana kama Subcutaneous Fat.
Baada yakufahamu maana ya kitambi ambayo watu wengi hufikiri ni matokeo ya utaratibu mmbaya wa vyakula peke yake lakini zipo sababu nyengine ambayo hupelekea au huchochea mabadiliko mwili ambayo hutengeneza kitambi.
Ambayo tutaangalia sababu hizo kwenye makala yetu ya wiki ijayo. Ahsante

Related posts

3 Comments

 1. best microdose gummies

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/afya/nini-chanzo-cha-kitambi-na-namna-ya-kukiondoa-1/ […]

 2. Best DMT shop Brisbane

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/afya/nini-chanzo-cha-kitambi-na-namna-ya-kukiondoa-1/ […]

 3. psilocybin mushrooms for sale oregon​

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/afya/nini-chanzo-cha-kitambi-na-namna-ya-kukiondoa-1/ […]

Comments are closed.