SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NJIA ZA KUSIMAMISHA MATITI YALIYO LALA
Afya

NJIA ZA KUSIMAMISHA MATITI YALIYO LALA 

Ikiwa ni jambo ambalo kila mwanamke ana litaka, hakuna mwanamke anaye penda kuwa na matiti yaliyo lala hasa kama huyo mwanamama bado kijana. Matiti hulala kutokana na mambo mbalimbali kama uvaaji wa blazia muda mrefu, kunyonyesha watoto, utoaji mimba nk, lakini kuna njia za kuyarudisha maziwa ya simame kiasili, rahisi, haiitaji hela nyingi na hazina madhara si kama kufanyia upasuaji na njia hizo ni:

fanya mazoezi yafuatayo kama ionekanavyo kwenye picha, yanaweza kusaidia kurudisha matiti katika hali ya usichana

Arm-Raise2 Chest-Press2 Dumbbell-Fry1 Push-Ups1

Pia unaweza kutumia barafu ku massage matiti yako kwa muda wa dakika moja kila siku, massage maziwa yako rounded inaweza kusaidia kusamaisha maziwa yako

Opt-For-Ice-Massages

Pia unaweza kutumia mchanganyiko wa ute wa yai, vitamin E na mtindi changanya ute wa yai,mtindi na vitamin E upake kwenye ziwa lako na kumassage kwa njia ya round kila siku utapata matokeo kwa muda mchache

Egg-Whites

 

Related posts

1 Comment

  1. weed

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/afya/njia-za-kusimamisha-matiti-yaliyo-lala/ […]

Leave a Reply