SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

VIAZI VYA NAZI KWA NYAMA YA NG’OMBE
Afya

VIAZI VYA NAZI KWA NYAMA YA NG’OMBE 

Vipimo

Viazi – 3lb

Nyama  – 1lb

Kitunguu  – 1

Nyanya –  2

Kitunguu saumu(thomu/galic)     – 1 kijiko cha chai

Manjano  –  ½ kijiko cha chai

Curry powder  –   ½ kijiko chai

Nyanya kopo  –   1 kijiko cha chai

Pilipili ya unga      kiasi upendavyo

Chumvi   kiasi

Kidonge cha supu   -1

Tui la nazi  –  1 kopoau zaidi

Mtindi ukipenda – 3 vijiko vya supu

Kotmiri – kiasi ya kupambia

Nazi ya unga – 4 vijiko vya supu

Mafuta   – 2 vijiko vya supu

DSC_4907-398x600

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

  1. Kata nyama vipande vipande kisha chemsha na chumvi mpaka iive.
  2. Menya maganda viazi na ukate slice kubwa weka pembeni
  3. Kata kata kitunguu kisha kaanga na mafuta mpaka vibadilike rangi
  4. Tia thomu, bizari ya manjano, pilipili ya unga, nyanya kopo
  5. Kata kata nyanya nzima vipande vidogo tia na kidonge cha supu.
  6. Kisha tia viazi, nyama na tui la nazi finika mpaka viazi viwive lakini    visiwe vikavu.
  7. Tia mtindi na nazi ya unga kama vijiko 4 vya supu iache motoni kidogo kisha pakua, tupia kotmiri juu na itakuwa tayari kuliwa..

 

 

Related posts

4 Comments

  1. download private facebook video

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/afya/viazi-vya-nazi-kwa-nyama-ya-ngombe/ […]

  2. 4 ounces strawberries

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/afya/viazi-vya-nazi-kwa-nyama-ya-ngombe/ […]

  3. Psilocybe Cubensis B+

    … [Trackback]

    […] There you can find 7895 more Info on that Topic: afroswagga.com/afya/viazi-vya-nazi-kwa-nyama-ya-ngombe/ […]

  4. Order magic mushroom online Sydney

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/afya/viazi-vya-nazi-kwa-nyama-ya-ngombe/ […]

Leave a Reply