SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

UREMBO SI UHUNI MANENO KUTOKA KWA  JASLINE GERALD
Ana Kwa Ana

UREMBO SI UHUNI MANENO KUTOKA KWA JASLINE GERALD 

Anaitwa Jasline Gerald A.K.A Jazylarry ni model (mwanamitindo) anae chipukia  kutoka Tanzania, Jazy ana ndoto kubwa ya kufanya kazi na kampuni ya BALMAIN, leo tupo nae katika Ana Kwa Ana tukitaka kujua mawili matatu kutoka kwake

Afroswagga –Wengi tunakujua kama jazylarry jina ambalo unatumia katika mitandao ya kijamii tunaomba utumbie hasa una itwa nani na historia yako kwa ufupi.

Jazzy-Naitwa jazyline Gerald lusingu ..ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto tatu ..naishi na wazazi wote wawili…
jazzy5

Afroswagga – kwanini uana mitindo?

Jazzy – nikitu ninacho kipenda since I was a kid …

jazzy2

 

Afroswagga – mwaka gani ilikua mara yako ya kwanza kuanza kazi hii?

Jazzy – was 2013 the year I finish form4

jazzy8

Afroswagga – ulijisikiaje mara ya kwanza ulipo fanya fashion show au photoshoot?

Jazzy – hahah kwanza nilikua naogopa  kwandani lakin ..in out side unaweza kuona Kama mzoefu..(being confidante help me)
jazzy3

Afroswagga- Ugumu gani uliupata ulipo anza kufanya mitindo?

Jazzy – ugumu ..ulikua yaweza tokea show wabunifu wakaja nanguo waka wapa models wanao wajua ..nyie wengine mpaka zitakazo baki..
jazzy

Afroswagga –  Je ni rahisi kufanya kazi na wabunifu wa kubwa? na mbunifu yupi ambae una ndoto za kufanya nae kazi?

Jazzy – I can say it isn’t hard as long you keep it professional, you do your work to their expectation and at the end of the day you both happy that’s all that matters .. Ally Rehemtulah..OLIVIER.R.,and BALMAIN…
jazzy6

Afroswagga  – wazazi wako walichukuliaje wakati unaanza kazi hii?

Jazzy-  my parents 1st they support me on that …na waliichukulia ni moja kati ya vipaji nilivyo navyo japo kunawakati its hard .Kama kurudi nyumbani after show late night..
Afroswagga – una fanya kitu gani ku maintain umbo lako?

Jazzy – .nafanya mazoezi (yakawaida,na dance, play basketball)

jazzy7

Afroswagga –  Tupe kidogo dondoo za urembo unazo zifanya kila siku

Jazzy – hahah dondoo hakuna jipya zaidi ..najipenda..I care about everything.. Kwanzia ngozi, kula na mavazi.
Afroswagga – Chochote ambacho ungependa kuwaambia wabunifu, wanamitindo na wa Tanzania kiujumla.

 Jazzy – kuusu ubunIfu bado tupo nyuma kidogo nguo zetu zina vutia (kuvuma ) kwa muda mfupi…ndomaana hatuna soko kubwa au kujulikana kimataifa …Na Tanzania kuna wasichana wazuri sanaaa ambao tunaweza kuitangaza Tanzania vizuri kwenye tasnia ya urembo .. Na urembo si uhuni ukijua unacho kifanya na unamalengo Gani huto potea.

jazzy1

Related posts

4 Comments

  1. BINANCE USA

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/ana-kwa-ana/urembo-si-uhuni-maneno-kutoka-kwa-jasline-gerald/ […]

  2. best escape from tarkov exploits

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/ana-kwa-ana/urembo-si-uhuni-maneno-kutoka-kwa-jasline-gerald/ […]

  3. best florida Puppies For Sale From reputable dog Breeder

    … [Trackback]

    […] There you will find 82578 additional Info on that Topic: afroswagga.com/ana-kwa-ana/urembo-si-uhuni-maneno-kutoka-kwa-jasline-gerald/ […]

  4. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/ana-kwa-ana/urembo-si-uhuni-maneno-kutoka-kwa-jasline-gerald/ […]

Leave a Reply