SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Hatimae Juliana Rugumisa Kushiriki Miss World 

Utata wa nani ataliwakilisisha Taifa katika Miss World umeisha na mshiriki alieshinda nafasi ya pili Juliana Rugumisa amesafiri kwenda kushiriki katika Mashindano ya Dunia. Kulikuwa na utata kutokana na Baraza la Sanaa Tanzania kutokumtambua Juliana na badala yake walitaka Miss Tanzania Rosey Manfere kushiriki katika…

Urembo

Jinsi Ya Kuwa Na Ngozi Nyororo 

Hatuwezi kukataa sote tunahitaji ngozi laini na nyororo, lakini mbinu au njia tunazotumia muda mwingine hutuacha na matokeo tusiotaraji kupata baada ya kufuata njia hizo. Ni kwasababu tumeumbwa tofauti na tunadhani kutumia njia iliyomsaidia mwingine itatusaidia na sisi na kugundua ni kinyume kabisa. Usijali, hizi…

Judge Afro

Je Tunavuka Mipaka Kama Wedding Guest’s? 

Waswahili husema “Mgema akisifiwa tembo hulitia maji”, tumekuwa na tabia ya kusifia wedding guest wanaopendeza na kuwa watofauti katika harusi za watu, tunadhani sifa hizi nyingi zimesababisha wengine kuzidisha kiwango na kupitiliza mwishoe kuharibu. Hivi karibuni kulikuwa na harusi ya hair stylist Aristotee ambapo baadhi…

Urembo

Namna Ya Kupata Ngozi Ng’avu Kiasili 

Sote tunapenda ngozi ng’avu, lakini hatujui nini cha kutumia tuwe tu wang’avu bila ya kuchubua ngozi zetu, kama ukienda kwenye maduka yavipodozi utasikia wadada wengi wana taka kipodozi cha kuwang’aza lakini kwa bahati mbaya wengi wetu tunakosea hili neno kwa kuwa mweupe, mtu anapo sema…

Mitindo

Namna 3 Za Kustyle Over Sized Shirt 

Inawezekana unalo umenunua au unaona namna ambavyo oversized shirt’s zina-trend kwa sasa, karibu kila duka wanauza hizi shirts na kila fashionista analo. Ni moja kati ya essential’s pieces kwasasa, muhimu kuhusu oversized shirt ni kwamba linavalika kwa namna mbalimbali lakini pia trend inaweza kuisha na…