Celebrities Costumes For Halloween 2023
Usiku wa Oktoba 31, ina semekana kuwa ni usiku wa Siku ya Watakatifu Wote, mara nyingi huadhimishwa na watoto kwa kuvaa masks za kuogopesha, Halloween inafikiriwa kuhusishwa na tamasha la Celtic Samhain,when ghosts and spirits were believed to be abroad. Well hio ilikuwa zamani, sasa…
What Nigerian Celebrities Wore At Lagos Fashion Week 2023
Lagos fashion week hufanyika kila mwaka kuanzia tarehe 26 mpaka 30 mwezi wa kumi, watu maarufu huwa wanhudhuria na kuangalia nini designers wameandaa na wengi wao hufika wakiwa wamependeza mno, na tupo hapa kukuletea kilichojiri mwaka huu na nani alivaa nini. Designer Mimi Yina au…
Hamisa Mobetto Hair Fail
Kila mmoja wetu ameshawahi kukutwa na hii hali uwe mtu wa kawaida au mtu maarufu lazima kuna siku unasukwa au kuweka hair do ambayo ni mbaya, week iliyopita tumemuona mwanamitindo, mfanyabiashara na mwanamuziki Hamisa Mobetto akiwa kwenye hafla ambayo alikuwa kama mgeni mualikwa. Hamisa alifika…
How To Style A Tennis Skirt
Tennis skirt zina trend sana kwasasa, watu maarufu wengi wanazivaa lakini pia unaweza kukutana nazo madukani, unaweza kujiuliza Tennis Skirt ni nini, hizi ni skirt fupi zenye marinda ambazo mara nyingi huvaliwa na wacheza Tennis, lakini haimaanishi haziwezi kuvaliwa na wengine. Inawezekana unayo au una…
Faida Za Nyanya Katika Ngozi
Linapokuja suala la kutunza ngozi na kupata ngozi yenye afya na yenye mvuto, mara nyingi huwa tunafikiria product za gharama kubwa za ngozi, lakini kumbe, suluhisho la ngozi yenye afya linaweza kuwa jikoni kwako. Nyanya, vito hivyo vyekundu vinavyopatikana mara nyingi katika saladi na michuzi,…
Namna Ya Kuslay Minyoosho Hair Style
kunazile siku ambazo tunaona tunahitaji kupumzisha kichwa na ma-wig na weaving’s na kuamua kusuka tu simple hair style, kwasasa wengi wetu huwa tunachagua hii minyoosho hair style yenye rasta, ni simple na elegant unaweza kuvalia chochote iwe suit, casual etc. Lakini haimaanishi basi ukisuka nywele…
Faida Za Kitunguu Maji Kwenye Nywele
Mwaka jana mwanamuziki Cardi B aliandika kwenye account yake ya Instagram kwamba huwa anatumia maji ya kitunguu kuoshea nywele zake “My last 2 washes I been boiling onions and using the water to wash my hair. I used to do this 6 years ago when…
Namna 5 Za Kuvaa Jeans Skirt
Kila mwanamke anatamani kuwa na jeans skirt katika closets yake ila ni vile anashindwa tu kujua anawezaje kustylish jeans skirt yake. Leo tunakuletea njia tano ambazo zitakuwa ni easy sana kustylish outfits yako ambayo inabebwa na jeans skirt. Kuna aina nyingi sana ya jeans skirt…
Kunywa Vinywaji Hivi Kupata Ngozi Nzuri
Kuwa na ngozi safi, inayong’aa ni ndoto kwa wengi wetu. Ingawa skin care routine ni muhimu, lakipi kile unachoweka ndani ya mwili wako pia kinaweza kuwa na athari kubwa kwa afya na mwonekano wa ngozi yako. Kujumuisha vinywaji vinavyofaa katika utaratibu wako wa kila siku…
Reviewing Zuchu’s Looks On Wasafi Festival
Zuchu ni mwanadada pekee anaye perfom kwenye wasafi festival, na kwa kupewa nafasi hii ya kipekee tulitegemea looks za maana you know mwanamke peke yako you got to show off, lakini tofauti na mategemeo yetu Zuchu amekuwa akitu-serve looks za kawaida mno, well tumefanya review…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…