SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

FARYZ ABAYA EID COLLECTION 

Eid Elhaji ina karibia na wengi tunapata tatizo la kujua wapi tutapata nguo, jibu ni Faryz Abaya utaweza kupata kwa bei rahisi na pia zinatengenezwa kutoka nyumbani (Tanzania).  Baadhi ya Abaya/dera yaliyopo katika collection ya Eid kutoka kwa Faryz    

Mitindo

BURBERRY KATIKA LFW (LONDON FASHION WEEK) 

Ikiwa Fashion Week Ime hamia London sasa hivi, hizi ndizo nguo zilizo onywesha na kampuni ya Burberry, katika show hio kulikua na watu maarufu wengi kama Cara Delevingne, Sienna Miller, Kate Moss, Sam Smith, Maggie Gyllenhaal, Jourdan Dunn, Naomi Campbell, na Mario Testino lakini hao ni baadhi tu….

Mitindo

PATA MUONEKANO WA EID NA ANNISA ABAYA 

Annisaabaya kama ambavyo wengi wanamjua, lakini jina lake kamili ni Fatma Naeem ni mbunifu kutoka Tanzania anae buni ma abaya/baibui. Hii ni collection yake aliyo itoa hivi karibuni na kuipa jina  Secret Garden. unaweza kununua ma baibui haya si tu kwa ajili ya Eid bali…

Do It Yourself

PIMP MKOBA WAKO 

Kuna ule mkoba mwenyewe una upenda ila sasa kuna sehemu ume chanika au umeisha hivi ndivyo unaweza kufanya uonekane mpya Mahitaji:   mkasi gundi kitambaa chaguo lako lining Maelekezo Pima kitambaa chako unataka kikae wapi na kiishie wapi. kata  kitambaa chako vizuri na ukigundishe sehemu…

Urembo

RANGI ZA KUCHA 8 ZINAZO PENDWA 

Kumuuliza mtu anaependa rangi za kucha ni rangi ipi anayo ipenda zaidi ni kama kumuuliza mama ni mtoto yupi anae mpenda zaidi, ni ngumu kuchagua lakini atakuepo mmoja ambae ndio chaguo lake. Hawa ni baadhi ya watu maarufu wanao fanya kazi na makampuni ya rangi…

Urembo

PENDA KUCHA ZAKO 

Wanawake na hata Wanaume wanashauriwa kuzingatia usafi wa kucha zao, kwani kucha inapokuwa safi inamfanya muhusika kuwa na mvuto na mwenye kupendeza. Wanawake wengi na hata Wanaume pia wanaume hupenda kutunza kucha zao, kwani hujikuta wakikutana na vikwazo vya kushindwa kukabiliana na matatizo ya kukatika…