SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Afro Fashion

WATU MAARUFU NA AFRICAN PRINTS 

Kutoka Instagram watu maarufu kama Dax,Kajala,Linnah Na Hamisa wameonekana wakivalia African Prints unaweza kuiga mshono Linnah ameonekana akiwa amevalia shati la batiki lenye ramani ya Africa kwa mbele. wakati Hamisa Mobetto yeye amevaa siketi fupi ya Dakishi. Dax Cruz hakua nyuma akiwa amevalia suruali ya…

Fashion Cop

FASHIONISTA WA WIKI 

Ikiwa wiki ya Mitindo ndio inaishia tumejaribu kuangalia Tanzania ni mtu maarufu gani alikua na muamko, ambao tunaweza kusema ameendana na hii wiki. Tume mpata aliye kuwa Miss Tanzania Bi. Hapiness Magese amejaribu kutuonyesha Mavazi yake aliyo ya vaa kwa wiki nzima. Happy huwa hakosei…

Mitindo

JEANS MOJA VAA MARA TANO TOFAUTI 

Ni mtindo wa jeans ambao umeingia sasa eidha ni suruali,sketi au gauni inakua na kitambaa zaidi ya kimoja cha jeans. Hii ime fanya watu kujiuliza wata vaa kwa namna gani, hizi ni namna chache tu ambazo unaweza kuvaa suruali yako ya jeans yenye kitambaa zaidi…

Dondoo

KAROTI KWA NGOZI BOWRA 

Karoti sio zao geni, najua tulio wengi tunalifahamu kama kiungo cha mboga. Kwetu Tanzania tumezoea kutumia karoti katika kuunga mchuzi na wachache hutafuna kama tunda. Lakini kinyume na matumizi hayo, ulaji wa karoti una faida nyingi katika urembo na mwili kwa ujumla, Leo nataka tuangalie…

Hair

KYLIE JENNER NA MITINDO YA NYWELE 

Anaitwa Kylie Jenner mdogo wa mwisho wa The Kardashian, juzi tu ame fikisha miaka 18′, Kylie amepata umaarufu kupitia dada zake lakini pia mitindo yake ya nywele na midomo. Kylie ambae ni mpenzi wa mwanamuziki Tyga amekua hapendi kutulia na nywele za aina moja mara…

Habari

LUPITA NYON’GO KULIPAMBA JARIDA LA VOGUE 

Ni mara ya pili kwa mwanadada kutoka Kenya Bi.  Lupita Nyong’o kulipamba gahazeti la Vogue ambalo litatoka mwezi wa kumi. Lupita ni mcheza filamu/ muigizaji kutoka Kenya. Alianza safari yake katika Tamthilia iitwayo Shuga kutoka Kenya mwaka 2009-2012 lakini mwaka 2013 ndipo nyota yake ilipo…

Habari

TYRA BANKS ATAMANI KUWA MAMA 

Kwa mara ya kwanza mwana dada Tyra Banks ambae ni mwana mitindo na mfanya biashara mkubwa ameongea kuhusu tatizo lake la kukosa mtoto. Tyra amesema ame chelewa kupata mtoto kwa sababu ya kufanya kazi. Lakini kwa sasa ana tamani kujenga familia na mpenzi wake Eric…

Fashion Cop

KARRUECHE TRAN HATAKI MCHEZO KATIKA NYFW 

Karrueche Tran wengi tumemjua kupitia Chriss Brown lakini ni Mwanamitindo na pia ni Muigizaji, katika wiki hii ya Fashioooni Karrueche anaonekana kuifurahia na kuipenda zaidi. Kwa maana ana tupa maelezo ya kila anacho kivaa na ana hakikisha hakosei. Hii ni baadhi ya mitoko yake [URIS…