SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Cop

KARRUECHE TRAN HATAKI MCHEZO KATIKA NYFW 

Karrueche Tran wengi tumemjua kupitia Chriss Brown lakini ni Mwanamitindo na pia ni Muigizaji, katika wiki hii ya Fashioooni Karrueche anaonekana kuifurahia na kuipenda zaidi. Kwa maana ana tupa maelezo ya kila anacho kivaa na ana hakikisha hakosei. Hii ni baadhi ya mitoko yake [URIS…

Habari

MISS UNIVERSE KUMILIKIWA NA WME/IMG 

Mashindano ya maarufu ya urembo duniani -Miss Universe- sasa yatakuwa chini ya kampuni ya kusaka kuendeleza vipaji na masoko ijulikanayo kwa jina la WME/IMG. Awali mashindano hayo yalikuwa yakiendeshwa kwa ushirika baina ya kampuni hiyo na kampuni inayojishughulisha na masuala ya habari na burudani ya…

Mitindo

YEEZY SEASON2 NYFW 

Kanye West ukiachana na uimbaji pia ni mbunifu na najua wengi tulikua tunasubiri kuona nini kina fuata baada ya Yeezy season 1. sasa ni hiki hapa ndicho Kanye au Baba North ame tuletea. katika Newyork Fashion Week kanye ameonyesha mavazi yake ya Yeezy Season 2,…

Mitindo

KUTOKA JACQUELINE,K-LYINN MPAKA J.N.MENGI 

Anaitwa Jacqueline Ntuyabaliwe alianza kujulikana mwaka 2000 baada ya kutwaa taji lake la Miss Tanzania mwaka huo. Baada ya kulivua Taji hilo tulimsikia tena Jacquieline lakini wakati huu alisikika kama K-Lyinn na hakua miss tena bali mwanamuziki hio ilikua mwaka 2003, kwa inavyo semekana Klyinn…

Mitindo

SERENA WILLIAMS NA UBUNIFU 

Ikiwa ni siku chache tu toka ashindwe mchezo wake wa Tennis, Serena Williams Ametuthibitishia kuwa ukianguka haimaanishi ulale bali nyanyuka na jitahidi usianguke tena. Ni baada ya kuonyesha umahiri wake katika kubuni nguo. Ndio! ikiwa ni wiki ya mitindo Newyork Serena hakusita kutuonyesha nini alicho…

Mitindo

SASA NI ZAMU YA MAPOCHI MADOGO 

Baada ya mapochi makubwa kukaa kileleni kwa muda mrefu sasa ime fika wakati wa kubadilika na kubeba mapochi madogo, Hii ni wiki ya mitindo huko NewYork na katika wiki hii ndo unapata kujua nini kipo kwenye kilele kwa sasa, katika pita pita zetu tumegundua wabunifu…

Fashion Cop

FAHAD VS DIAMOND NANI KAIVAA BOWRA ZAIDI 

Fahad Fuad ni mwanamitindo kutoka Tanzania wakati Diamond Platnumz ni mwanamuziki lakini inaonekana wana radha sawa katika mavazi, Diamond na Fahad wameoneka wakivaa suti sare sare mwaka huu mwanzoni. wakati Diamond alivaa suti hio kwa shati jeupe na urembo kama cheni na pete akitupia na…