SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

ENJIPAI (FURAHA) 

ENJIPAI ni neno la kimaasai ambalo kwa Kiswahili lina maanisha FURAHA, ENJIPAI ni bidhaa ambayo ime undwa na Nasreen Karim Miss Tanzania 2008.   Kikundi cha ENJIPAI imeunganishwa na wamama wa kimaasai ambao wana unganisha utamaduni wao na mitindo ya kisasa. Kitu kizuri kuhusu Enjipai…

Mitindo

VANNESA MDEE KATIKA GAZETI LA STYLE MANIA 

Mwezi huu katika  la gazeti la STYLE MANIA, mwanadada VANESSA MDEE au VEE MONEY kama mwenyewe ambavyo ana penda kujiita ata onekana katika  la STYLE MANIA MAGAZINE kutoka nigeria. jarada la gazeti hilo lime pambwa na mwanadada Vimbai Mutinhiri kutoka zimbabwe ambae ni mshiriki wa…

Habari

MISS TANZANIA WA PILI AINA LINDA W MAEDA 

Mara baada ya kushinda taji hilo na kumaliza mwaka wake mmoja wa kazi za jamii, alipata ofa mbalimbali za kufanya kazi za mitindo nchini Afrika ya Kusini, na hatimaye kuhamia huko na kuishi huko kwa karibu miaka 10 ambapo aliweza kupata marafiki wa jinsia mbalimbali…

Dondoo

MUHIMU KUWA NAVYO MSIMU HUU 

Misimu ya hali ya hewa inabadilika lakini haimaanishi usiwe kimitindo zaidi. Msimu huu wa joto ni rahisi kidogo kuwa kimitindo kwa sababu vitu vinavyo beba neno Mitindo vinakua vinapatikana kwa urahisi. zifuatazo ni Dondoo za nini uwe nacho katika msimu huu: 1)Suruali zisizo bana (bwanga)…

Mitindo

HUWEZI KUAMINI KUWA WANA WATOTO (5 BORA) 

1)Jacqueline Ntuyabaliwe alisha wahi kuwa miss Tanzania kabla ya kuingia katika muziki, lakini kwa sasa ana fanya biashara zake binafsi nchini na Afrika Kusini. Jacquline ni mmoja kati ya wasichana kwasasa ni mama wanao penda mitindo na hajawahi kubadilika toka mwanzo akiwa msichana na mpaka…

Habari

AFRICA FASHION WEEK LONDON (AFWL) 2015 

Wiki Hii tarehe 7 na 8 kutakua na tamasha la mitindo liitwalo Africa Fashion Week London Mwaka huu hili tamasha litafanyika London’s Kensington Olympia. Tamasha hili la siku mbili litawakutanisha pamoja Wahamasishaji wa Mitindo na Wataalam katika Sekta hio watokao sehemu mbalimbali za duniani kutoka…