SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Dondoo

ONDOA VICHWA VYEUSI USONI 

Vichwa vyeusi usoni usababishwa na vipele au mchanganyiko wa uchafu na mafuta katika tundu za hewa. kiukweli vinakera si kwa wanawake tu bali hata wanaume. njia chache za haraka na rahisi za kutoa vichwa vyeusi usoni. 1) BARAKOA YA UTEPE WA YAI Njia hii ni…

Habari

LV NDANI YA “EMPIRE” SEASON 2 

Zikiwa zimesalia takribani wiki mbili tu ile tamthilia pendwa ya Empire season 2 itoke, Trai Byers (andre), Bryshere Gray (hakeem) na Jussie Smollett (jamal), wataonekana katika jarida jipya la GQ mwezi wa kumi. Wavulana hawa wamevalishwa na Mkapuni  zenye majina makubwa katika ulimwengu wa mitindo kama Louis…

Habari

RIHANNA KUVAA SOKSI 

Ni masaa machache yamepita tangu mwanamuziki mashuhuri ulimwenguni mwenye asili ya ki marekani kuachia makusanyo ya Soksi zake akiingia ubia na kampuni ya Stance, na  kuupa jina la Rihanna Stance X ubia huo. Jina la soksi hizo zitajulikana kwa jina la “Baby Goth Punk” tayari…

Dondoo

UJAUZITO USIWE KIKWAZO 

Wakina mama wengi wa kiafrika huwa tunapata kigugumizi katika nini tuvae hata tukipata mialiko katika sherehe mbalimbali kulingana na hali zetu za ujauzito. Naweza kusema wengi tunakumbana na mtihani huu kwasababu ya kuongezeka kwa ukubwa wa miili yetu, na kulingana na hali ya uchumi tunashindwa kwenda…

Urembo

DOLCE GABANA KULETA MKOMBOZI WA NGOZI 

Dolce Gabana tunaifahamu kama ni kampuni ya nguo lakini pia ina uhusiana na vipodozi vipo vingi ila kwa sasa kampuni hii ya vipodozi ime leta kipodozi kipya kinacho saidia  huduma ya ngozi, kipodozi hiki kinaitwa aurealux serum ambayo ina saidia kuongeza mchakato wa ngozi yako…

Dondoo

MATUMIZI YA MAKE-UP BRUSH 

Brush Ya Powder 1. Powder brush hii ni kwa ajili ya kupaka aina yoyote ya powder foundation 2.Flat brush-kwa ajili ya kupaka contour 3)Kabuki brush-kwa ajili ya kuapply powder katika mwendo wa mviringo 4)Smudge brush– kama unataka mwonekano wa jicho kuwa smokey tumia hiii 5)Blending…