SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Habari

KARRUECHE TRAN NA MPENZI MPYA? 

Karrueche Tran muigizaji lakini pia ni mwanamitindo kutoka ulaya. ambae amekua maarufu kupitia mpenzi wake wa zamani na mwanamuziki Chriss Brown, Karrueche na Chriss wamekua na mtindo wa kuachana na kurudiana kwa muda mrefu lakini wakati huu inaonekana mambo yamekua mazito kidogo, mara kwa mara…

Mitindo

HAMASIKA NA KANYA SESSER 

Kanya Sesser ni mwanamitindo aliye zaliwa huko Thailand aliishi katika kituo cha kulelea watoto yatima mpaka pale alipo timiza miaka mitano ambapo alikuwa adopted na wazazi wa kufikia na kwenda kuishi Portland, USA. Kanya Sesser ni mwanamitindo ambaye hana miguu na kwasasa ana miaka 23,…

Dondoo

NINI UFANYE UKIENDA KWENYE MANUNUZI 

Mara nyingi ime tokea tukienda kufanya manunuzi (shopping) tunarudi na vitu tusivyo vitaka na kujutia au hata kutumia fedha nyingi kuliko tulivyo tegemea. Hii inatokana na kwamba tukiwa tunaenda shopping hatupangi ni kipi tunacho kifuata huko,hizi ni dondoo chache za vipi ufanye manunuzi yako sahihi…

Hair

FANYA HAYA UKUZE NYWELE ZAKO HARAKA 

Je? Ndo umeanza safari yako ya kukuza nywele na nywele zako hazikui haraka kama ulivyotegemea? Basi inawezekana hautunzi nywele zako vizuri. Nitakuelezea njia unazoweza kutumia kukuza nywele zako haraka na kukujulisha makosa gani unayafanya yanyositisha ukuaji wa nywele zako. MAKOSA YA SABABISHAYO NYWELE ZAKO KUTOKUKUA…

Urembo

PRADA NA GOLD LIPSTICK 

Tumeona Mitindo mingi katika wiki hii, mingi ya kushangaza lakini huu unaonekana utapendwa na ku kiki zaidi miezi ijayo. Katika Runway ya hivi karibuni Prada walionyesha nguo zao huku wana mitindo wake wamevalia Lipstic za Gold. Je wewe utavaa na umeonaje mtindo huu?