SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

ZURIA JEKUNDU MTV MUSIC AWARDS 2015 

MTV MUSIC AWARDS ilifanyika jana wakati muongea chochote wa tukio ilo alikua Miley  Cyrus na Nick Minaj ndo alikua mfunguaji. Tuone nani kavaa nini na nani ameharibu Nicki Minaji alivaa Gauni la dhahabu  kutoka Labourjoisie.   Ciara sijajua tuuitaje hii staili ki bongo bongo ila…

Hair

MITINDO YA NYWELE 

Wasanii au watu maarufu wamekua kioo cha jamii kwa vitu vingi, tabia, misaada, elimu na hata mitindo. Wengi huwa tunaangalia kutoka kwao na sisi ndio tufanye. wiki hii wengi wame badilisha mitindo yao ya nywele wengine wamtoa nyeusi waka weka dhahabu na wengine wametoa fupi…

Habari

ANTONIO BENDERA DARASANI KUSOMEA MITINDO 

Unaweza kumjua kutokana na filamu zake alizo cheza kama The Mask of Zorro na Donkey’s Christmas Shrektacular, lakini tulicho kuwa hatukijui wala kukifikiria ni kwamba Antonio Bendera ana penda mitindo pia, katika ukurasa wake wa instagram muigizaji antonio bendera (55) ameweka picha na kuweka maelezo…

Mitindo

UTOKE VIPI? 

Ni Ijumaa nyingine, tena ni ijumaa nzuri ambayo ipo mwisho wa mwezi. Ikifika siku kama ya leo wengi tunakua tumeshajua tunaenda wapi  kwa ajili ya mapumziko na kutuliza akili kwa uchovu wa juma zima. Lakini tatizo linakuja je nini uvae hii inaleta shida kwa wengi….

Fashion Cop

NANI ALIVAA VIZURI ZAIDI? 

Kama haitoshi kushirikiana kwa Penzi lao kwa Kanye West imeonekana Kim Kardashian na Amber Rose wana radha sawa katika mitindo pia. mwezi wa 11, 2014 Kim Kardashian (34) alionekana kuvaa gauni la Pink lililo buniwa na latex Atsuko Kudo, lakini mwaka huu mwanadada Amber Rose…

Habari

KAMATI MPYA MISS TANZANIA 

Wasi wasi ulitanda miongoni mwetu mara baada ya BASATA kuifungulia shindano la Miss Tanzania, wengi tulijiuliza kama yote yataweza kufanikishwa kwa wakati. Kwa kutambua hilo na kuogopa yale mambo ya zamani kujirudia  Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, Hashim Lundenga leo ametambulisha mbele ya waandishi…

Do It Yourself

HERENI ZA CHUPIO 

Katika hiki kipengele cha fanya mwenyewe tuna waletea vitu ambavyo unaweza kufanya mwenyewe kirahisi na nafuu, ni vitu ambavyo unaweza kufanya ukavaa au kugeuza biashara. kwa sasa vitu ambavyo vinapendwa zaidi ni vitu ambavyo vya kipekee, watu wengi hawapendi kuvaa vitu ambavyo mwingine nae anacho,…

Afya

UMUHIMU WA MAHARAGWE 

Maharagwe imekuwa ni nafaka inayoliwa na watanzania tulio wengi hasa kutokana na kipato chetu. Lakini leo nataka nikwambia faida ipatiakanayo kwa matumizi ya nafaka hii katika afya mwanadamu. Hakika si wengi tuliokuwa tunaijua siri hii, ndio maana nimeona haja ya kushirikiana na nyinyi katika Makala…