SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Uncategorized

BUNS ZA UFUTA/KUKU WA KARAI (PAKISTAN) 

Buns Za Ufuta Vipimo Unga                                       4 Vikombe vya chai Sukari                                     1 Kijiko cha supu Chumvi                                   1 Kijiko cha chai Hamira                                     1 Kijiko cha supu Baking powder                         1 Kijiko cha chai Siagi                                         ¼ Kikombe cha chai Maziwa                                     1 ½ Vikombe vha chai Yai                                             1 Moja Ufuta                                        …

Mitindo

KUKUA KWA MITINDO YA KIISLAMU 

Kampuni ya Mavazi ya Abaya Addict. Ni moja kati ya kampuni za mitindo ya kiislamu zinazokuwa kwa kasi kubwa. Kampuni hiyo ambayo makazi yake ni Dubai katika Falme za Kiarabu. Ubunifu huu wa Abaya Addict unatarajia kujaza nafsi zote zilizowazi zinazoachwa na wanamitindo mbalimbali ambao…

Uncategorized

TAMBI NA NYAMA YA KUSAGA 

Tambi Za Kukaanga VIPIMO Tambi  –  pakti moja Sukari –  ¾ kikombe cha chai Mafuta  -½ kikombe cha chai Iliki – kiasi maji – 3 Vikombe vya chai Vanilla / Arki rose – 1-2 Tone Zabibu –  Kiasi (Ukipenda) NAMNA YA KUTAYARISHA NA  KUPIKA Zichambue tambi ziwe moja moja. Mimina…

Uncategorized

Mbaazi Kwa Maandazi 

MAANDAZI Vipimo Unga  –  5 Vikombe Tui la Nazi zito vugu vugu – 1 ¼ kikombe Sukari –  3/4 kikombe cha chai Samli iliyoyayushwa au mafuta    – 3 vijiko vya Supu Hamirah – 2 Vijiko vya Supu Hiliki  –  1/2 Kijiko cha chai Mafuta ya kukaangia Namna Ya Kutayarisha…

Mitindo

MWONEKANO WA KIOFISI 

Ni jumatatu nyingine ambayo watu wengi wana pata shida kuchagua nini wavae ofisini, ukizingatia ni mwezi mtukufu huwezi kuvaa suti ya sketi fupi au suruali ya kubana, inachukua muda kupata suluhisho hasa kwa upande wa wadada lakini tusicho jua kuna vitu vichache tu ambavyo vinaweza…

Uncategorized

SAMBUSA NA MAZIWA YA TENDE 

SAMBUSA ZA KUFUKIZA Mahitaji:- Manda za sambusa za tayari, 20-30 Nyama ya kima nusu kilo Mchanganyiko wa thomo na tangawizi mbichi vijiko 3 vidogo Mchanganyiko wa bizari kijiko 1 kikubwa Kitunguumaji kimoja kikate udogo Dania moja ikate udogo Maji ya limau moja Chumvi kiasi Na…

Mitindo

UBUNIFU KATIKA RAMADHANI 

Katika msimu huu wa mwezi mtukufu, Ni dhahiri kuwa wengi wetu tunapata wakati mgumu wa kujua tutavaa nini katika msimu huu. Hapa ndo tunapoona umuhimu wa kuwa na wabunifu, ambao kazi yao ni kutupa mwonekano mpya kila siku. Leo nimejaribu kuangalia baadhi ya mavazi ambayo…