SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Dondoo

UJAUZITO USIWE KIKWAZO 

Wakina mama wengi wa kiafrika huwa tunapata kigugumizi katika nini tuvae hata tukipata mialiko katika sherehe mbalimbali kulingana na hali zetu za ujauzito. Naweza kusema wengi tunakumbana na mtihani huu kwasababu ya kuongezeka kwa ukubwa wa miili yetu, na kulingana na hali ya uchumi tunashindwa kwenda…

Urembo

DOLCE GABANA KULETA MKOMBOZI WA NGOZI 

Dolce Gabana tunaifahamu kama ni kampuni ya nguo lakini pia ina uhusiana na vipodozi vipo vingi ila kwa sasa kampuni hii ya vipodozi ime leta kipodozi kipya kinacho saidia  huduma ya ngozi, kipodozi hiki kinaitwa aurealux serum ambayo ina saidia kuongeza mchakato wa ngozi yako…

Dondoo

MATUMIZI YA MAKE-UP BRUSH 

Brush Ya Powder 1. Powder brush hii ni kwa ajili ya kupaka aina yoyote ya powder foundation 2.Flat brush-kwa ajili ya kupaka contour 3)Kabuki brush-kwa ajili ya kuapply powder katika mwendo wa mviringo 4)Smudge brush– kama unataka mwonekano wa jicho kuwa smokey tumia hiii 5)Blending…

Dondoo

MPANGILIO KATIKA MKOBA 

Wanawake wengi hupata shida pale wanapo taka kupangilia mikoba yao, kwa kutokujua kipi wakiweke wapi na wapi pakae nini. Mara nyingi hupoteza vitu kama pini,chupio kwa kuviweka vibaya na kuna wakati hadi una hisi aibu kufungua mkoba wako mbele za watu kwa sababu tu ya…

Mitindo

DONDOO ZA MITINDO KWA WANAUME 

SOMO: Achia kifungo chako cha mwisho cha chini (usikifunge) kwa kupata muonekano wa kawaida, usio tumia nguvu na kuonyesha kiuno chako. SOMO: shati la mistari na sneakers za rangi moja ni chaguo bora zaidi kwako kwa ajili ya matembezi ya kawaida. SOMO: Nguo eidha za…

Ana Kwa Ana

IJUE TWO IN ONE ACCESSORIES 

Mwezi huu AfroSwagga katika Ana Kwa Ana imefanya mohojianao na mbunifu Vyette ambaye yeye pamoja na mshirika wake Jonathan Lupilli ambaye ni mpiga picha ndio ambao wanaounda 2in1. Endelea…. Afroswagga – Two-one-accessories ni nani? Two-one-accessories – Two In One Accessories ni a handmade jewerly brand and…

Habari

MAKEKE KUIWAKILISHA TANZANIA TDWFS- JOHANNESBURG 

Msanii wa mitindo ya kiafrika kutoka Tanzania JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA ambaye amekuwa tishio katika mitindo ya asili ya mwafrika ameendelea kuiwakilisha vyema Tanzania katika majukwaa mbalimbali ndani na nje ya nchi , kama unakumbuka mwezi wa saba alituwakilisha vyema Jijini Nairobi na kuonekana mwanamitindo…