MWANAMITINDO TALI LENNOX NA MPENZIWE WAPATA AJALI MTONI
Mwishoni Mwa Juma Lililo Isha Haikua Nzuri Kwa Mwanamitindo Na msanii Tali Lennox Kutoka British, Tali Lennox (22) Na Mpenzi Wake Ian Jones (32) Walipata Ajali Katika Mto Hudson Uliopo upstate New York. Bibi Tali Lennox Aliweza Kuokolewa Na Mashua Iliyokuwa Ikipita Lakini Kwa Bahati…
HUWEZI KUAMINI KUWA WANA WATOTO (5 BORA)
1)Jacqueline Ntuyabaliwe alisha wahi kuwa miss Tanzania kabla ya kuingia katika muziki, lakini kwa sasa ana fanya biashara zake binafsi nchini na Afrika Kusini. Jacquline ni mmoja kati ya wasichana kwasasa ni mama wanao penda mitindo na hajawahi kubadilika toka mwanzo akiwa msichana na mpaka…
BARAKOA YA USO KUTUMIA MATUNDA YA STRAWBERRY
Mahitaji Strawberry – 8/9 Asali – vijiko 3 vya chakula Jinsi Ya Kutengeneza: Osha Strawberry zako kisha ziweke katika bakuli safi kavu, ziponde ponde kwa uma au kitu chochote unachoweza kupondea mpaka zilainike na kuwa kama juisi. Baada ya hapo miminia…
AFRICA FASHION WEEK LONDON (AFWL) 2015
Wiki Hii tarehe 7 na 8 kutakua na tamasha la mitindo liitwalo Africa Fashion Week London Mwaka huu hili tamasha litafanyika London’s Kensington Olympia. Tamasha hili la siku mbili litawakutanisha pamoja Wahamasishaji wa Mitindo na Wataalam katika Sekta hio watokao sehemu mbalimbali za duniani kutoka…
THERESA SHAYO MISS TANZANIA WA KWANZA (1967)
Mwaka 1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na mwaka 1967 ndipo tulipata mrembo wetu wa kwanza bi. Theresa Shayo mashindano haya yalifanyika kat Kilimanjaro hoteli ambayo kwa sasa ina julikana kama Hyatt Regency jijini Dar Es Salaam. Bi Theresa Shayo Akipita Jukwaani Lakini…
MAKEKE NA MAKEKE YAKE KATIKA UBUNIFU
AfroSwagga katika Ana Kwa Ana imefanya mahojiano kwanjia ya mtandao na Msanii wa mitindo kama ambavyo napenda kuitwa yeye mwenye Bwa. Jocktan Maluli, maarufu kama MAKEKE, Pata kujua kafunguka yapi mbunifu huyu mwenye hasira na kazi yake. AfroSwagga: Makeke ni nani? Makeke: Makeke…
IDRIS ELBA, KATIKA UJIO MPYA WA MAXIM
Inawezekana uigizaji na uana mitindo ni kazi ambazo zina shahabiana, ndio maana ni rahisi kwa muigizaji kuwa mwanamitindo na mwanamitindo kua muigizaji. Muigizaji ambae amewahi kuigiza kwenye filamu kama The Wire’s drug kingpin Stringer Bell to Nelson Mandela, na hivi karibuni ata onekana katika filamu…
KODI KUONDOA MATUMAINI YA WABUNIFU LONDON
Ndani ya kipindi kisichozidi miaka miwili kampuni ya The Trampery ilifunguliwa rasmi huko nchini Uingereza katika jiji la London, Ikiwa inaendelea kukusanya nguvu na kulitendea haki soko la mitindo kampuni inalazimika kufungwa kwa sababu ya ongezeko la kodi. Wabunifu kama Jonathan Saunders, Holly Fulton and James…
CARA DELEVINGNE MITINDO AU FILAMU?
Kama wewe ni mpenzi wa Mitindo basi nina hakika umeshawahi kusikia hili jina CARA DELEVINGNE, ni msichana mdogo tu alie zaliwa mwaka 1992, Lakini jina lake ni kubwa katika ulimwengu wa mitindo CARA DELEVINGNE ni mwana mitindo ambae amesha wahi kufanya kazi na wabunifu wakubwa…
MITINDO YA NYWELE KATIKA MAJIRA YA KIANGAZI
Kiangazi ni kipindi/msimu wa joto katika mwaka na ndio huu ambao umeanza sasa. kipindi hiki huwa tunapata tabu na nywele jinsi gani tuzitunze, tuziweke kwa namna ipi ili zisitusumbue na kutuongezea joto zaidi. kwa sababu ni msimu wa joto basi mitindo mingi huwa ambayo kama…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…