CARA DELEVINGNE MITINDO AU FILAMU?
Kama wewe ni mpenzi wa Mitindo basi nina hakika umeshawahi kusikia hili jina CARA DELEVINGNE, ni msichana mdogo tu alie zaliwa mwaka 1992, Lakini jina lake ni kubwa katika ulimwengu wa mitindo CARA DELEVINGNE ni mwana mitindo ambae amesha wahi kufanya kazi na wabunifu wakubwa…
MITINDO YA NYWELE KATIKA MAJIRA YA KIANGAZI
Kiangazi ni kipindi/msimu wa joto katika mwaka na ndio huu ambao umeanza sasa. kipindi hiki huwa tunapata tabu na nywele jinsi gani tuzitunze, tuziweke kwa namna ipi ili zisitusumbue na kutuongezea joto zaidi. kwa sababu ni msimu wa joto basi mitindo mingi huwa ambayo kama…
KWANINI MKOBA?
Toka zamani mwanamke amekua akitumia mkoba kama tamko katika mitindo, kutoka zamani mpaka sasa mkoba umekua kama alama katika mitindo, jinsi ambavyo miaka inaenda na mambo yanabadilika, mitindo inabadilika, ubora unabadilika na hata jinsi ya kubeba mkoba inabadilika Inasemekana kuna jinsi ya kubeba mkoba inaweza…
NANI KABAMBA JUMA HILI (TANO BORA)
Chanzo Instagram, Aforswagga jumapili ya leo imepita katika akaunti kadhaa za mastaa wetu wa nyumbani (Tanzania). Tumepata baadhi yao ambao kwa upande wetu tumeona wanastahili kuwa katika tano bora yetu ya walio pendeza katika juma hili 1. Hamisa Mobetto @hamisamobetto amevalishwa na @ups_fashion_wear …
UJIO MPYA WA CONVERSE CHUCK TAYLOR ALL STAR
Yapata karne moja (kwa muda wa miaka 98 hazija wahi kubadilishwa),Kampuni ya Nike imeamua kufanyia marekebisho viatu vyake aina ya Converse’s Chuck Taylor All Stars kubuniwa tena kwa mtindo mwingine wa kisasa zaidi. Wengi wanasema ni kufuru kufanya marekibisho katika viatu hivi kwa maana bado mtindo…
MITINDO KATIKA MSIMU HUU WA KIPUPWE
Ni rahisi kupata mavazi pale hali ya hewa inapo kua ya baridi, lakini hii isikufanye upoteze radha yako katika mitindo. Kwasabu ni baridi watu wanajua cha kuvaa ni nguo nzito na viatu vya kufunika bila hata kupangilia, Si mbaya lakini ingekua nzuri zaidi kama Msimu…
VIPODOZI GANI UVAE KATIKA MSIMU HUU WA BARIDI (KIPUPWE)
Wanawake wanapenda kuonekana warembo wakati wote, pasi kuzingatia ni majira ya mwaka yaani masika, kiangazi, umande, ama kipupwe. Msimu huu ni wakipupwe katika maeneo mengi ya dunia na hata kwetu tanzania, ingawa si sana kwa wakazi wa jiji la dar es salaam, lakin kwa walio…
WALIO TISHA MTV MAMA RED CARPET NA LIST YA WASHINDI
Wasanii Kutoka Africa Na Pande Nyingine Za Dunia Walijumuika Pamoja Katika Kinyang’anyiro Cha Kuwania Tuzo Za Muziki Za MTV Africa Muziki, Ambazo Zilifanyika Durban International Convection Centre, KwaZulu-Natal, South Africa Siku Ya Juma Mosi Julai 8 2015 Wasanii Wengi Walikuepo Na Wengi Walipendeza Wafuatao Ni…
Kheri ya Sikukuu ya Eid
AfroSwagga inapenda kuwatakia wasomaji wetu wote kheri ya sikukuu ya Eid, Na Mola atujalie sote kusherehekea vema kwa sikukuu hii Tukiendelea kudumisha amani na upendo miongoni mwetu. Eid hawezi kuwa eid bila kuhusiana na mitindo, vaa vizuri wewe na familia yako sherekeheni siku kuu hii…
VILEJA VYA NAZI
VILEJA VYA NAZI Mahitaji: Vikombe – 4 nazi aina ya Dessicated Kijiko – 1 kidogo Vanilla Kopo moja la Maziwa matamu ya Condensed Kijiko – 1 kidogo baking powder Kijiko – 1 kikubwa siagi iyayushe Na Icing sugar kikombe 1 kwa kupambia. NAMNA YA KUTAYARISHA:- Changanya vyote hivyo…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…