SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ThrowBack

MKUMBUKE MBUNIFU WA KWANZA 

  Zelda Wynn Valde Ni mbunifu wa kwanza mwenye asili ya Kiafrica (African-American), Mwanamama huyu alizaliwa 28/6/1905 lakini kwa bahati mbaya alifariki 26/9/2001. Zelda alifungua duka lake mwenyewe broadway katika mji wa New York ambalo lilikua ni duka la kwanza katika eneo hilo kumilikiwa na…

Do It Yourself

MKUFU WA KIGOZI 

Mkufu huu utakugharimu kiasi kidogo cha pesa lakini utakupa muonekano wa kisasa, pia una weza kuifanya mingi ukauza. lakini pia unaweza kuifanya ikawa mingi rangi tofauti tofauti ya kwako mwenyewe kwa ajili ya matumizi yako ukawa na muonekano wako wa kipekee MAHITAJI: – mkufu –…

Habari

MAMA NA MWANA WAJA NA YAO KATIKA MITINDO 

Ulimwengu wa Instagram umeleta mambo mengi, kuna ambao wana fanya biashara, wanao nadi vyakula na pia wanao onyesha ujuzi wao katika mavazi na mitindo hawa ni wengi zaidi. Wenye kuonyesha umashuhuri wao katika mitindo huwa wanaonyesha wana vaa nini kila siku (#OOTD) Out Fit Of…

Afya

Kwanini Unywe Maji? 

Kwa wale wavivu wa kunywa maji, nivema kuiacha hiyo tabia na kujifunza taratibu kunywa maji ya kutosha, usisubiri uhisi kiu ndipo unywe maji. Hakikisha unapata walau Bilauli nane za maji kila siku. Kuna sababu nyingi na wewe kunywa maji zifuatazo ni baadhi tu. Ngozi kuwa…

Mitindo

WAPENZI WANO TISHA ZAIDI KATIKA MITINDO 

1) juma Jux Na Vanessa Mdee Hawa ndo wapenzi walio tisha zaidi katika sekta ya mitindo mwaka huu, Juma Na Vanessa wote ni wanamuziki na mahusiano yao yamedumu kwa muda sasa. Juma na Vanessa wanajua kujipangilia katika mavazi kama wapo pamoja au kila mmoja peke…

Dondoo

UMUHIMU WA PUSHUP KWA WANAWAKE 

Pushup ni moja kati ya zoezi zuri Zaidi kwa Wanawake. Kwanini? Pushups za mara kwa mara haizitaimarisha kifua chako tu, lakini pia kutengeneza umbo zuri la Mabega, Misuli ya Mikono (Triceps), Misuli ya Makalio(Glutes) na kufanya misuli hiyo kuimarika na kukaza. Kuna aina nyingi za…

Habari

SHINDANO LA MISS TANZANIA KURUDI TENA 

Mnamo mwaka 2014 shindano la miss Tanzania lilifungiwa kutokana na mtafaruku ulio tokea mwaka huo, Mtafaruku huu ulitokea baada ya Miss alie chaguliwa ( Sitti Mtemvu) Sitti Mtemvu   kutokua na vigezo kamilifu hii ilipelekea miss huyu kujivua taji na Taji lake akapewa Miss alie…

Habari

ZURIA JEKUNDU TEEN CHOICE AWARDS 2015 

Sahau Kuhusu Joto La Kiangazi Hakuna Kinacho Weza Kuingilia Kati Mionekano Hii Ya Moto Katika Red Carpet Ya Teen Choice Awards 2015 Jordan Sparks Mwanamziki Amevaa Gauni Ya Pundamilia (nyeupe na nyeusi) na Viatu Vyeusi Vilivyo Buniwa na hit franchise Monster High. Britney Spears amechagua…

Mitindo

WALIO PENDEZA JUMA HILI 

Meninnah Mwanamuziki na zao la BSS 2012 juma hili ame tokelezea kihindi kapendezeshwa na – @ndibs Elizabeth Michael au Lulu Muigizaji Filamu amependeza na gauni yake ya rangi ya chungwa mpauko akielekea kwenye sherehe ya harusi ya Flaviana Matata. ame pendezeshwa na –laviemakeup Kajala Masanja…