Beyonce’s Renaissance Tour Dresse’s You Can Copy
Queen Bee is on tour na kama kawaida Bey huwa haplay linapokuja kwenye swala la kukonga nyoyo za mashabiki wake, A black skin girl hit maker huwa ana make sure sio tu vocals na dancers wanakuwa vyema ila pia muonekano wake head to toe, outfit,…
Namna Ya Kustyle Leggings / Skintight
Wenzetu wanaziita leggins sisi huku huwa tunaziita tight, ni moja ya vazi ambalo linapendwa lakini pia nirahisi kulivaa hasa kwa wale wapenda kuvaa casual. Mara nyingi huwa tunavaa vazi hili katika mizunguko ya kawaida, na huwa hazichukulii kama vazi ambalo linaweza kuvalika vizuri na ukatoka…
Iga Mishono Kutoka Kwa Hamisa Mobetto
Hamisa ni versatile yaani anabadilika kama kinyonga linapo kuja kwenye swala la fashion anaweza kuwa African leo na kesho ukamkuta Western na ni kitu kizuri tunasema confuse your enemy, Dunia isikuzoee na muonekano wa aina fulani kila siku. Leo tunakuletea mishono ya kidada ya kitenge…
Vifungo Vinavyoweza Kupunguza Hadhi Ya Vazi Lako
Kuna vitu vidogo ambavyo unaweza kupuuzia na kusema havionekani au hata kama vinaonekana sio big deal lakini kiukweli vinaweza kutoa muonekano wako kutoka 100% to 70% kitu ambacho kinakera maana umechukua muda mwingi kufikiria mtoko wako halafu kitu kidogo tu kina uharibu. Utajiuliza vifungo vinawezaje…
Namna Nyingine Za Kutumia Mafuta Ya Vaseline
wengi ambao tunatumia mafuta ya mgando tutakuwa tunajua mafuta haya ya Vaseline, ukiachana kuwa ni mafuta mazuri ya ngozi unaweza kutumia mafuta haya kwa mambo mengine mbalimbali na yakawa msaada mkubwa. Wale ambao tunabandika nywele tunajua kasheshe la kutoa gundi ya fronta,l ukiachana na kuumia…
Behind The Brand: Just MK By Martin Kadinda
Leo nyuma ya brand tuko nae Martin Kadinda, huwezi kutaja Tasnia ya Mitindo na Ubunifu Tanzania na usimtaje Martin. Tunaweza kusema Martin amekuwa na Industry au Industry imekuwa na Martin, ameanza ubunifu akiwa mdogo na mpaka sasa huwezi acha kumtaja katika 10 bora ya wabunifu…
What Colors To Mix With Mustard Yellow
Inapokuja mda wa kusaidia watu wa expand sense ya style basi possible solution ni kuchagua rangi nzuri na patterns ambazo zitamfanya awe katika comfort zone. Mustard yellow ni aina ya rangi ambayo inamfanya mtu awe na natural beauty. Watu wengi wanasema mustard yellow ni moja…
Tips On How To Stay Healthy & Youthful According To Jacqueline Ntuyabaliwe
Jacqueline ni moja kati ya wakwonge katika mitindo ambao bado wanaonekana vyema yaani kuonekana wadogo kuliko umri wao, wengi wetu huwa tunajiuliza anafanya nini? Mbona ngozi yake bado ipo vizuri? Kupitia Account zake katika mitandao ya kijamii Jacqueline ame-share tips chache za namna ambavyo unaweza…
Must Have accessories For Men
Wanaume wengi hawajui essential accessories kwa ajili ya mionekano na hawafahamu kuwa accessories husaidia kuinua muonekano wao katika siku husika kwa kukamilisha outfit yako.Essential accessories for menWengi wanajiuliza zipi ni essential accessories kwao ambazo haupaswi kukosa kuwa nazo katika kabati lao. Zifuatazo ni essential accessories…
Reviewing Wasafi Festival Looks In Mtwara
Wasafi festival imeanzana opening ya hii festival mwaka huu imeanzia mtwara ambapo ilifanyika usiku wa kuamkia jumamosi, as ni event kubwa na ni ya kwanza tukawa na expectations kubwa ya kwamba looks zitafunika huko, huwa tunajua kitu cha kwanza na cha mwisho huwa tunapania lakini…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…