CHOMOKA HIVI USIKU WA MITINDO TZ (FASHION NITE TZ)
Ikiwa kesho ndio ule usiku unao subiriwa na wengi hasa wapenda mitindo, tumeona si mbaya kama tukitoa mawazo ya nini uvae au uige ukiwa katika Fashion Nite Tz. Tamasha lenyewe linahusu Mitindo kwaio inabidi uwe kimitindo zaidi ili kuendana na maudhui pia lina fanyika usiku…
KHANGA SWAGG KUTOKA KWA MISSY TEMEKE
Tume ona huu mshono kutoka katika kurasa ya Missy Temeke huko Instagram na tumependa mshono ulivyo simple na mzuri ambao unaweza kuvaliwa popote. Mbele Nyuma Mkanda na Nude heels very simple lakini kapendeza
TBT NA MARTIN KADINDA
Martin Kadinda aliianza safari yake katika ulimwengu wa mitindo 2007-2010 kama mwanamitindo wa jukwaani na si mbunifu katika safari yake hio aliwahi kushinda tuzo kama mwanamitindo mwenye kipaji zaidi (2008) wakati (2010) alishinda tuzo ya mwanamitindo bora wa kiume. Baada ya hapo akaamua kubadilisha uelekeo ambapo…
ALLY REHMTULLAH X PERONI WANA KULETEA FASHION NITE TZ
Mbunifu Ally Rehmtullah ameungana na kinywaji cha peroni kukuletea usiku wa mitindo Tanzania (FASHION NITE TZ), Katika usiku huu kutakua na maonyesho kutoka kwa wabunifu wadogo wanao chipukia ambao wameteuliwa na Ally Rehmtullah na Peroni. Onyesho hili litafanyika: Ijumaa 27/11/2015 Mahali: Akemi Restaurant Kiingilio: Bure…
TAUSI,HAMISA,FLAVIANA NA HAPINESS KATIKA MAVAZI YA UFUKWENI
Flaviana matata l Hamisa Mobetto Ladiva Millen Tausi Likokola
JIFUNZE KU STYLE RASTA
Rasta zimekua katika trnd kwa kipindi kirefu sasa, na leo tumekuletea namna nane tofauti za jinsi ambavyo unaweza kuzistlye rasta zako
MITINDO YA AFRICAN PRINT KUTOKA ORIKUTATI
Kitenge kilikuwepo toka tangu na tangu lakini ni hivi karibuni tu imetokea mitindo mbali mbali ya kukivaa tofauti na zamani, Orikutati ni wabunifu kutoka Tanzania ambao wametuonyesha namna nyingine ya kuweza kuvaa kitenge
LEILAN BEUTY “MTANZANIA KWENYE FILAMU YA CHAMANDI KAROH INDIA”
Leilan ni Mtanzania ambaye alikuwa India kujifunza maswala mazima ya make up,Leilan ambaye kwasasa amerudi nchini Tanzania akiwa amefungua darasa la kufundisha maswala ya make up pamoja na urembo kwa ujumla. Akiongea na Afroswagga ofisini kwake Tabata Segerea alisema “Nipo Tanzania natamani sana kufanya kazi…
JLO NA VIVAZI VYAKE KUMI KATIKA AMA’S
Jeniffer Lopez ama Jlo ndivyo anavyo julikana na wengi, ni mwanamuziki pia muigizaji kutoka marekani. Jana katika America Music Awards Jlo alikua kama Mc na kama ambavyo ana julikana Jlo sifa yake kubwa ni kupenda kuvaa vizuri na ime kuwa mtindo kwa sasa katika kila…
KENDALL VS KARRUECHE
Usiku wa kuamkia leo, kulikua na Tuzo na American Music Awards ambapo watu wengi maarufu walihudhuria wakiwemo wana mitindo wawili Kendall Jenner na Karrueche tran wote wawili walivalia gauni nyeusi lakini pia walionekana kufanan mtindo wa nywele na make-up je nani kapendeza zaidi Karrueche Tran…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…