ZULIA JEKUNDU AMERICAN MUSIC AWARDS 2015
Hakuna sehemu nzuri ya kujua nani kaharibu au nani kapendeza kama kwenye red carpet, jana usiku kulikua na tuzo za muziki na hizi ndizo zilizo tuvutia zaidi [URIS id=2980]
LORRAINE MARRIOT AIBUKA KIDEDEA MISS UNIVERSE TANZANIA 2015
Mashindano ya Miss Universe Tanzania Yalianzishwa mwaka 2007 ambapo yameendelea mpaka sasa na yameleta warembo wengi ambao wana tuwakilisha vizuri ndani na nje ya nchi. Mwaka jana ushindi alichukua Nale Boniface ambae amemuachia taji Lorraine Marriot usiku wa kuamkia leo. Lorraine Marriot aliwahi kuwa miss…
VAZI LA SIKU NA AIKA WA NAVYKENZO
Tume penda huu muonekano kutoka kwa Aika, jinsi alivyo vaa na kuanzia kichwani hadi miguuni whii style ina itwa “cow girl”
WATU MAARUFU NA MAPENZI YAO KWA VIATU
Viatu ni moja ya urembo ambao kila mwanamke ana upenda, iwe kirefu,kifupi,cha kufunika au hata mguu wazi ali mradi ni kiatu na ni kizuri basi mwanamke atakipenda. Je wanawake wapo tayari kwenda umbali gani katika mapenzi yao na viatu? ni ngumu kumuuliza mmoja mmoja au…
UTOKE VIPI WEEKEND HII
Kupenda au kuvaa vizuri hakuhitaji gharama nyingi, unaweza kuwa na mavazi machache lakini ni kujua jinsi ya kupangilia na kufanya muonekano wake uwe mpya kila siku. Tukiwa tunaelekea mwisho wa wiki na kuanza siku za mapumziko tunakuletea namna chache tu za kuvaa ukiwa unaenda kwenye…
SERAYA ANATURUDISHA MIAKA YA 90
Jina lake kamili ni Serayah McNeill ameonekana kwenye tamthilia inayo itwa Empire kama Tiana Brown, Ametokea katika Gazeti la Bellomag mwezi huu tulicho penda zaidi ni msichana wa miaka 20 kuvalishwa kizamani na kuwekwa staili ya nywele ya afro baadhi ya picha zilizomo kwenye gazeti…
MAKE UP GAME ILIVYO BADILIKA KUTOKA ZAMANI NA SASA
Leo katika TUPA NYUMA au THROWBACK #TBT tunaangalia make up game ilivyo kuwa zamani mpaka sasa, jinsi gani tumekua na kujiongeza katika uwanja huu. Kuna baadhi ya watu maarufu tume chukua picha zao za kule walipo toka na make up mpaka hapa walipo fikia. Enjoy…
NANI KAKAPENDEZA ZAIDI NA REMBA LA KINIGERIA
Lulu na Hamisa ni wasichana wano fanya kazi mbili tofauti ikiwa lulu ni muigizaji wakati hamisa ni mwanamitindo, lakini wawili hawa wanaonekana waki shahabiana katika jambo moja nalo ni mitindo. Kila mmoja wao ana penda kuoneka ki leo na mtanashati. Wiki hii wame fungana katika…
MUONEKANO MPYA WA BELLE NINE
Mwanamuziki Belle9 ambae ametamba na vibao vingi kama sumu ya penzi,amerudi na vinginevyo amekuja na muonekano mpya ambao ni crazy colors, ni mara chache kwa mvulana kuvaa rangi za kung’aa kama njano,rangi ya chungwa au kijani. Belle alizoeleka pia kama wavulana/wanaume wengine kuwa ana vaa…
STAILI ZA NYWELE ZILIZOPO KWENYE TREND
Miezi miwili mitatu nyuma staili ya nywele za rangi ya grey ilikua ipo kwenye kiki na sasa tumeanza ku notice style nyingine ambapo nusu ya watu maarufu wameiwekea/kushonea kichwani mwao. Hii style bado haija patiwa jina lakini ni nusu rangi ya nywele nyeusi na nusu…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…